RC Makalla: Nitaongea na Wadau ili daladala zinazoishia Kariakoo ziwe zinaishia Machinga Complex kesho ni mwisho wa kuhama!

Tayari huko. Mmoja wa migambo mnaowatuma kachezea huko mtaa wa swahili kapelekwa muhimbili mahututi . Kama hata_survive itabidi makala atunze familia yake. Hii ni vita kweli.
Ohho kimenuka? Tukio limetokea Swahili na mtaa gani?
 
Tangu lini Amos Makalla akawa mzee?!
 
Kadhalika Makalla amesema ataongea na wadau wa Usafiri ili daladala zote zinazoishia Kariakoo ziwe zinaishia Machinga Complex ili kuchangamsha biashara katika eneo hilo.
Huo utakuwa unyanyasaji wa abiria..
Mtu anatoka Tegeta anaenda sokoni K'koo, unampeleka machinga complex kufanya mini?
 
Leo ndio mmeona madhara yao ila mmesahau matatizo ya kukosa mipangilio kwenye miji ndio mnashtuka .

Maana walipewa backup eti wakae popote sababu ndio wapiga kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…