Nyaubikra
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 1,339
- 3,319
Cha kuingia jf na kutypeUna kiwango gani cha elimu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kuingia jf na kutypeUna kiwango gani cha elimu
Soma animal behavior ndugu, upanue ubongo, kwani hujui mbuzi ana ubungo, macho, masikio pua na vihgine kama binadamu tuUtalii huo ndg mbeya unakutana na nguruwe sema wale mbuzi watu wale mnyama anajuazje zebra
Aliwachorea mstari barabarani,kila boda aliye mfanyia uovu ule ,akipita apo afe,kwa hiyo ni kila siku ikawa kuna misibaTupe habari
Mbona hawazibi biashara za watu, wao wanatembea kuliona jiji.Wote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria.
Hiyo sawa; lakini kuna suala hili la mbuzi wa Dar ambao wanajichunga wenyewe Magomeni, Mbagala, Mbezi, Shekilango nk ambao nao wanaleta uchafuzi wa mazingira na sintofahamu ukizingatia wanajichunga wenyewe pamoja na kuwa na uwezo wa kufuata sheria za usalama barabarani kama trafic lights, zebra nk.
Lakini, hatujawahi sikia serikali ikitoa tamko juu ya hawa jamaa na sasa wanazidi kuongezeka mjini Dar. Labda RC Makalla angetuambia kwanini na hii mifugo isifukuzwe mitaani ili ikakae maeneo yanayowahusu kama walivyofanyiwa wamachinga?
Hata binaadamu wanaua, tumeshuhudia binaadamu wakiua wapita njia bila sababu.Na mbwa wazururaji mtaani ni hatari kwa afya za wananchi.
Mbwa wanaua tumeshuhudia watu wakipoteza maisha sababu ya kung’atwa na mbwa tena wengine hadi mbwa wao sembuse mtu bali?!
Hatari Sana.Tatizo la mbuzi wengi wa Dar, sio mbuzi kama mbuzi.
Wale ni binadamu ndio maana wanavuka barabara kwenye zebra, wanajua kufuata mataa ya kuongozea magari, wanaenda makaburini kuwaombea marehemu, wanakula nyama na mikate nk nk nk
Kama huamini siku moja jifanye kama zuzu umkamate mmoja afu umcharaze bakora. Ila usije ukasema sijakuonya
Miaka ya 98 pale kulikuwa na mzee anaitwa mzee Uliza, ndio mbuzi wake waliogopeka ila sio kivilee, huyo uliemtaja zaidi ya alikuwa mtemi,hakuwa na uchawi wowote,Mbuzi wa pale mtongani,kwanza hawali vyakula vya hovyo hovyo,wao ni mikate,vipisi vya sigara na hadi soda wanakunywa! Mzee Kibere ndiyo mwenye Mali!
Waibiwe kwani wana miliki mini... Hawaibwi au hawaibiwi!!??Wale ni zaidi ya mbuzi mkuu, kwanza wanavukia kwenye zebra, wanakunywa bia na hawaibiwi
Mbuzi wazururaji wapo kwenye miji mingiWote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria.
Hiyo sawa; lakini kuna suala hili la mbuzi wa Dar ambao wanajichunga wenyewe Magomeni, Mbagala, Mbezi, Shekilango nk ambao nao wanaleta uchafuzi wa mazingira na sintofahamu ukizingatia wanajichunga wenyewe pamoja na kuwa na uwezo wa kufuata sheria za usalama barabarani kama trafic lights, zebra nk.
Lakini, hatujawahi sikia serikali ikitoa tamko juu ya hawa jamaa na sasa wanazidi kuongezeka mjini Dar. Labda RC Makalla angetuambia kwanini na hii mifugo isifukuzwe mitaani ili ikakae maeneo yanayowahusu kama walivyofanyiwa wamachinga?
Mbuzi wazururaji wapo kwenye miji mingi
Makalla ameshindwa na Wamachinga ; anamuhadaa Samia kwa kuwaondoa katikati ya jiji [cbd] na Kariakoo basi!! kwingine kulikobaki kama kawa machinga wanatamba!!Wote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria.
Hakuna uchawi mkuu, we bebelea mbuzi mmoja wa mpemba kamchinje uleAcha Imani potofu, hakuna cha mpemba wala nini, ni ujinga tu unawasumbua wengi kuamini uchawi wakati haupo, jifunze tabia za wanadamu na viumbe wengine, halafu jifunze jinsi mfumo wa dunia unavyo fanya kazi ili uondokane na Imani potofu