Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Wekeni picha basi tuwaone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niliwai kuishi pale miaka ya mpaka 2001, enzi za tapeli mmoja aliitwa LumemeAiseee,kweli wewe ni mwenyeji pale! Siku hizi Mzee Kibere kawa mpole ule ubabe wake wakulata watu mapanga hana tena!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nguruwe wa Mbeya. 😂Tatizo la mbuzi wengi wa Dar, sio mbuzi kama mbuzi.
Wale ni binadamu ndio maana wanavuka barabara kwenye zebra, wanajua kufuata mataa ya kuongozea magari, wanaenda makaburini kuwaombea marehemu, wanakula nyama na mikate nk nk nk
Kama huamini siku moja jifanye kama zuzu umkamate mmoja afu umcharaze bakora. Ila usije ukasema sijakuonya
Kama wale njiwa pale kanisa la Duomo Milan.Huo ni utalii tosha kama ulaya walivyokuwa na njiwa na bata mitaani na sisi tuna mbuzi
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Trust me, unaweza kuta wewe ni mchawi pia. Binadamu ni wanafiki sanaAcha Imani potofu, hakuna cha mpemba wala nini, ni ujinga tu unawasumbua wengi kuamini uchawi wakati haupo, jifunze tabia za wanadamu na viumbe wengine, halafu jifunze jinsi mfumo wa dunia unavyo fanya kazi ili uondokane na Imani potofu