RC Makalla umeyamaliza ya wamachinga, lakini vipi kuhusu Mbuzi wazururaji wa Dar?

Kama nguruwe wa Mbeya. 😂
 
kama ni wa mpemba mbona wanallala barabarani usiku! wa manane huwa nawaona wale niko bwiii!
 
wale ni rahisi sana kuwa iba!! kamata mbayu wayu! then vua nguo zote nenda kinyume nyume kuwaelekea lazima wakufuate tu!! then mbio!! na wao mbio kukufuata! hakikisha unapo fanya hili zoezi hakuoni mtu!
 
Acha Imani potofu, hakuna cha mpemba wala nini, ni ujinga tu unawasumbua wengi kuamini uchawi wakati haupo, jifunze tabia za wanadamu na viumbe wengine, halafu jifunze jinsi mfumo wa dunia unavyo fanya kazi ili uondokane na Imani potofu
Trust me, unaweza kuta wewe ni mchawi pia. Binadamu ni wanafiki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…