Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar
RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha lami
Hata hivyo, baada ya kulala rumande siku moja hatimaye Mkandarasi wa kampuni ya Nyanza ameanza ujenzi wa barabara hiyo ambapo RC Makonda amesema utakuwa mradi wake wa mwisho ndani ya Dar
RC vs Mfugale fly over!Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar
RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha lami
Hata hivyo, baada ya kulala rumande siku moja hatimaye Mkandarasi wa kampuni ya Nyanza ameanza ujenzi wa barabara hiyo ambapo RC Makonda amesema utakuwa mradi wake wa mwisho ndani ya Dar
Ujenzi umefikia wapi, nimeona hapo umesema kaanza kujengaMkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar
RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha lami
Hata hivyo, baada ya kulala rumande siku moja hatimaye Mkandarasi wa kampuni ya Nyanza ameanza ujenzi wa barabara hiyo ambapo RC Makonda amesema utakuwa mradi wake wa mwisho ndani ya Dar
Nyanza wana Projects Manager wao yuko fiti akisema hapo hakuna kupiga kazi mpaka walipwe na kweli hawapigi wanastop.Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar
RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha lami
Hata hivyo, baada ya kulala rumande siku moja hatimaye Mkandarasi wa kampuni ya Nyanza ameanza ujenzi wa barabara hiyo ambapo RC Makonda amesema utakuwa mradi wake wa mwisho ndani ya Dar
Rostam azizi... Alafu anazo kampun nyingiKwani hii Nyanza ni ya nani ? Naona ilipata miradi mingi sana hapa Dar.
Kwa hiyo inawezekana makonda amenyimwa ten pasenti ?Nyanza wazuri siasa na tamaa zisipoingia kati
Via kwa mpalange unaizungumzia hiyo bila Shaka mkuuKuna kitunda-buza jamani muifanyie kazi,kl mita 5-10 hazijafika ,ile njia kuna wananchi kibao wanafanya shughuli zao na kurudi kupumzika.
Mpk sasa usafiri upo unachagua mwenyewe,ila swala njia mbovu.
Vp na diamond jeNyanza wazuri siasa na tamaa zisipoingia kati
Vp na diamond je