Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lolote linawezekana
Kwa hiyo inawezekana makonda amenyimwa ten pasenti ?
Kwa hiyo inawezekana makonda amenyimwa ten pasenti ?
Wakandarasi wazawa bado sana ndiyo maana wanalilia upendeleo zaidi kuliko ushindani!
SureLolote linawezekana
Inawezekana hajapewa mpunga?Nyanza wana Projects Manager wao yuko fiti akisema hapo hakuna kupiga kazi mpaka walipwe na kweli hawapigi wanastop.
Shida ukidumbukiza mtaji wako mazima kwenye miradi ya serikali kuna hatari ya kufilisika unajiona hivihivi.
Mkandarasi wa ndani kuidai serikali inahitaji uvumilivu otherwise inakula kwako.
Bora wakandarasi wa nje wanaweza hata kukaba vitalu vya madini au hifadhi kifidishia deni tofauti na mkandarasi wa kibongo inabidi usubirie mpaka hela itakapopatikana.
Hii inaweza kuwa excuse tu ya wabongo sidhani kama miradi yote inakuwa hawajalipwa pesa!Mkandarasi mzawa bila upendeleo ni sawa na kumkopesha pesa baba mkwe au baba mwenye nyumba. Huyu mzawa achape kazi weee kwenye malipo atakavyosota hadi huruma.
Tuone kama kweli haitapewa miradi tena.Rostam azizi... Alafu anazo kampun nyingi
Hata barabara ya Yombo Buza to Airport nayo walifanya vizuri tuu, ni upepo tuu utapitaHawa Nyanza walifanya kazi nzuri Sana pale Dodoma wakajenga jina, baada ya hapo miradi mingine yote hovyo! Mfano barabara ya Bunda-Kisorya imewashinda kabisa!
Hata ww hujui dada?Kwani hii Nyanza ni ya nani ? Naona ilipata miradi mingi sana hapa Dar.
Yake ni Caspian na haipo tena sokoniRostam azizi... Alafu anazo kampun nyingi
Hana ubavu huo.Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar
RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha lami
Hata hivyo, baada ya kulala rumande siku moja hatimaye Mkandarasi wa kampuni ya Nyanza ameanza ujenzi wa barabara hiyo ambapo RC Makonda amesema utakuwa mradi wake wa mwisho ndani ya Dar
Makonda anamjua mmiliki wa NYANZA?aendelee kuifatilia hiyo kampuni,itamdondosha.
Makonda anamjua mmiliki wa NYANZA?aendelee kuifatilia hiyo kampuni,itamdondosha.
Rostam azizi... Alafu anazo kampun nyingi
Hata ww hujui dada?
Kwani hii Nyanza ni ya nani ? Naona ilipata miradi mingi sana hapa Dar.
Patel ndo MD. Sidhani kama Magufuli yumo kwenye hii campuni. Makonda asingewapiga mkwara.Baba mkubwa ni ni patner kwenye kampuni
Michael Gachuma mmimiliki wa kiwanda cha bia cha Serengeti na mmiliki wa nyanza bottling wazalishaji wa vinywaji vya Coca-Cola na fanta kanda ya ziwa.Kwani hii Nyanza ni ya nani ? Naona ilipata miradi mingi sana hapa Dar.
Safi sana wapuuzi kabisa hawa. Tunateseka sana tunaotokea njia hiyo kwa uzembe wa hawa wapuuzi na wapumbavu kabisa hawa [emoji83][emoji83][emoji83]Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amewapiga marufuku Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) kuipa mradi wowote Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza ndani ya mkoa wa Dar
RC Makonda ametoa maagizo hayo baada ya Kampuni hiyo kutumia miezi 12 kujenga Barabara ya Kilometa 3.2 ya Kitunda-Kivule ya kiwango cha lami
Hata hivyo, baada ya kulala rumande siku moja hatimaye Mkandarasi wa kampuni ya Nyanza ameanza ujenzi wa barabara hiyo ambapo RC Makonda amesema utakuwa mradi wake wa mwisho ndani ya Dar