RC Makonda aagiza Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza kutopewa mradi wowote ndani ya Dar

Mkandarasi mzawa bila upendeleo ni sawa na kumkopesha pesa baba mkwe au baba mwenye nyumba. Huyu mzawa achape kazi weee kwenye malipo atakavyosota hadi huruma.
Wakandarasi wazawa bado sana ndiyo maana wanalilia upendeleo zaidi kuliko ushindani!
 
Inawezekana hajapewa mpunga?
 
Mkandarasi mzawa bila upendeleo ni sawa na kumkopesha pesa baba mkwe au baba mwenye nyumba. Huyu mzawa achape kazi weee kwenye malipo atakavyosota hadi huruma.
Hii inaweza kuwa excuse tu ya wabongo sidhani kama miradi yote inakuwa hawajalipwa pesa!

Sijasikia Songoro Marines akilalamikiwa ilhali tenda za ujenzi wa vivuko na meli karibia maziwa yote nchi hii yeye ndo anafanya.
 
Hawa Nyanza walifanya kazi nzuri Sana pale Dodoma wakajenga jina, baada ya hapo miradi mingine yote hovyo! Mfano barabara ya Bunda-Kisorya imewashinda kabisa!
Hata barabara ya Yombo Buza to Airport nayo walifanya vizuri tuu, ni upepo tuu utapita
 
Hana ubavu huo.
Atakosa kazi kwavigezo vilivyowekwa na wala sio kwa utashi wa RC.
TANROADS ni taasisi ambayo mkuu wa moja hana mamlaka mayo kabisa.
 
Makonda anamjua mmiliki wa NYANZA?aendelee kuifatilia hiyo kampuni,itamdondosha.

[emoji3][emoji3][emoji3] nadhani atakuwa anamjuwa sidhani kama angekurupuka kuongea nayeye si wakulekule labdaaliomba maelekezo kwanza [emoji3][emoji3] maana kwa habari ambazo ninazo toka zamani nimekuwa nkizisikia naogopa kumtaja nisije dukuliwa[emoji3][emoji3] ni mtu mzito tena bosi kubwa yaani top kabisa mtu wa mwisho [emoji3][emoji3][emoji3]na toka zamani anamahusiano nao nyanza mazuri SANA 🤷‍♂️
 
Ga
Kwani hii Nyanza ni ya nani ? Naona ilipata miradi mingi sana hapa Dar.
Michael Gachuma mmimiliki wa kiwanda cha bia cha Serengeti na mmiliki wa nyanza bottling wazalishaji wa vinywaji vya Coca-Cola na fanta kanda ya ziwa.
 
Weekend itakuwa tamu sana hii....
 
Safi sana wapuuzi kabisa hawa. Tunateseka sana tunaotokea njia hiyo kwa uzembe wa hawa wapuuzi na wapumbavu kabisa hawa [emoji83][emoji83][emoji83]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…