Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu kumekucha salama?
Huko Arusha Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ameagiza kupewa kipaumbele kwa Viongozi wa dini na Wazee wote wa Mkoa wa Arusha pale watakapokuwa kwenye Ofisi zote za Umma Mkoani humo kwa ajili ya kutafuta huduma.
Mbele ya waumini wa Msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha mwisho wa wiki, Ijumaa Oktoba 25, 2024, Makonda alisema: "Nawaomba viongozi wote wa Serikali hakuna kiongozi wa dini wala mzee wa Mkoa wa Arusha anayestahili kapanga foleni kwenye ofisi yoyote ya Umma anapotafuta huduma, Wazee wa miaka 60 wao wakifika wanaenda moja kwa moja kwenye ofisi, haya ni maagizo yangu"
Soma: RC Makonda aandaa hafla ya Wakuu wa Taasisi za Umma na Wafanyabiashara Arusha