johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akili ya mtanzania mwanaccm hiyo.
Ni aibu kubwa
Mbowe hawezi kushabikia timu za kipuuzi kama hizo mlizoanzisha kwa mkakat was kisiasa mnafikir hatujui tumeashwaambia wananch waachane na hizo timu za Lumumba punga wew.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni leo Makonda amejiandikia historia mpya nchini.
Makonda ni Simba kindakindaki na Mbowe ni Yanga aliyekunywa maji ya bendera lakini katika maendeleo mambo ya itikadi huyaweka pembeni.
RC Makonda ameipa uwanja timu ya Yanga katika eneo la kigamboni ambapo uongozi wa Yanga umenena utajenga Dar Young Africans Sports Academy.
Niishie hapo povu ruksa.
Maendeleo hayana vyama!
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni leo Makonda amejiandikia historia mpya nchini.
Makonda ni Simba kindakindaki na Mbowe ni Yanga aliyekunywa maji ya bendera lakini katika maendeleo mambo ya itikadi huyaweka pembeni.
RC Makonda ameipa uwanja timu ya Yanga katika eneo la kigamboni ambapo uongozi wa Yanga umenena utajenga Dar Young Africans Sports Academy.
Niishie hapo povu ruksa.
Maendeleo hayana vyama!
Mwambie huyoMakonda hana Ardhi Sema Serekali imeipa Yanga Ardhi
Ni mwana ccm lkn hajui historia ya ccm bali anapelekeshwa na mihemuko kwani huwezi itaja yanga ukaisahau ccmAkili ya mtanzania mwanaccm hiyo.
Ni aibu kubwa
Kwa kifupi Yanga na Simba zote zina unasaba na CCM.Ni mwana ccm lkn hajui historia ya ccm bali anapelekeshwa na mihemuko kwani huwezi itaja yanga ukaisahau ccm
Kwa kifupi Yanga na Simba zote zina unasaba na CCM.
Usanii wa Kiwango cha SGRMnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni leo Makonda amejiandikia historia mpya nchini.
Makonda ni Simba kindakindaki na Mbowe ni Yanga aliyekunywa maji ya bendera lakini katika maendeleo mambo ya itikadi huyaweka pembeni.
RC Makonda ameipa uwanja timu ya Yanga katika eneo la kigamboni ambapo uongozi wa Yanga umenena utajenga Dar Young Africans Sports Academy.
Niishie hapo povu ruksa.
Maendeleo hayana vyama!
Wananchi gani unaowazungumzia ?Mawazo haya ya wachangiaji kutoka Ufipa yanatia wasiwasi sana...! Ivi CDM itakuwepo kweli baada 2020? Nyie endelezeni 'Pinga pinga' kwa kila kitu..! Wananchi wanawasubiri 2020.
Hakikawe ni K