RC Makonda aipatia Club ya Wananchi Yanga kiwanja Kigamboni

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni leo Makonda amejiandikia historia mpya nchini.

Makonda ni Simba kindakindaki na Mbowe ni Yanga aliyekunywa maji ya bendera lakini katika maendeleo mambo ya itikadi huyaweka pembeni.
RC Makonda ameipa uwanja timu ya Yanga katika eneo la kigamboni ambapo uongozi wa Yanga umenena utajenga Dar Young Africans Sports Academy.

Niishie hapo povu ruksa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mbowe hawezi kushabikia timu za kipuuzi kama hizo mlizoanzisha kwa mkakat was kisiasa mnafikir hatujui tumeashwaambia wananch waachane na hizo timu za Lumumba punga wew.
 
hakuna sisiemu mwenye akili sijui wanadunguliwaga hawa jamaa yani wanasifia ujinga unaweza kuwaza mengi yakumahusu hawa ndugu zetu. Tangu lini Makonda au sisiemu akamiliki ardhi ya kugawa kama yake. Mbowe akipanda Bombadier utawasikia sisiem imempa lift Mbowe sasa utajiuliza sijui ardhi na bombadier ni vya sisiemu ?!!
 
Mawazo haya ya wachangiaji kutoka Ufipa yanatia wasiwasi sana...! Ivi CDM itakuwepo kweli baada 2020? Nyie endelezeni 'Pinga pinga' kwa kila kitu..! Wananchi wanawasubiri 2020.
 
Tatizo bwana mdogo wewe naona ni mgeni wa siasa za Tanzania.
Yanga imebeba mafanikio ya taifa hili hadi hapa tulipo kumbuka chanzo cha kuanzishwa kwa yanga na ukishajua hilo naona uzi wako huu utaufuta
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni leo Makonda amejiandikia historia mpya nchini.

Makonda ni Simba kindakindaki na Mbowe ni Yanga aliyekunywa maji ya bendera lakini katika maendeleo mambo ya itikadi huyaweka pembeni.
RC Makonda ameipa uwanja timu ya Yanga katika eneo la kigamboni ambapo uongozi wa Yanga umenena utajenga Dar Young Africans Sports Academy.

Niishie hapo povu ruksa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni leo Makonda amejiandikia historia mpya nchini.

Makonda ni Simba kindakindaki na Mbowe ni Yanga aliyekunywa maji ya bendera lakini katika maendeleo mambo ya itikadi huyaweka pembeni.
RC Makonda ameipa uwanja timu ya Yanga katika eneo la kigamboni ambapo uongozi wa Yanga umenena utajenga Dar Young Africans Sports Academy.

Niishie hapo povu ruksa.

Maendeleo hayana vyama!
Usanii wa Kiwango cha SGR
Haya Mambo na Kiki za Ki Siasa ndio yanaharibu timu yetu
 
ni afadhari mara mia ulemavu wa viungo kuliko ulemavu wa akili.
 
Mawazo haya ya wachangiaji kutoka Ufipa yanatia wasiwasi sana...! Ivi CDM itakuwepo kweli baada 2020? Nyie endelezeni 'Pinga pinga' kwa kila kitu..! Wananchi wanawasubiri 2020.
Wananchi gani unaowazungumzia ?
 
Back
Top Bottom