johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni leo Makonda amejiandikia historia mpya nchini.
Makonda ni Simba kindakindaki na Mbowe ni Yanga aliyekunywa maji ya bendera lakini katika maendeleo mambo ya itikadi huyaweka pembeni.
RC Makonda ameipa uwanja timu ya Yanga katika eneo la kigamboni ambapo uongozi wa Yanga umenena utajenga Dar Young Africans Sports Academy.
Niishie hapo povu ruksa.
Maendeleo hayana vyama!