Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

Roho ya kimasikini inamwandama mwandishi wa grobu na grobu yake.
Kama naona vile watanzania wanaogopa kumiliki vitu kisa tu mawazo ya kimasikini.

Baku yangu kule kijijini ana mifugo yake na anamiliki Zaidi ya ekari 2,000 sasa huyo mwenye ekari 20 sijui mnamtaja wa nini.
 
Halipii au analipia?
Shida sio Kulipia..Tatizo ni kavipataje? thamani yake inaendana na kipato chake? Vyote viko kwenye record ya fomu yake iliyoenda tume ya maadili ya viongozi wa uma? Hivyo tu, Kama hakunamushkeli kokote wala hamna tabu
 
Ngoja nami nijitahidi ninunue zaidi ya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…