Tetesi: RC Makonda ajimilikisha ekari 22.3 mkoani Dodoma, sawa na ukubwa wa viwanja 15 vya Soka

-ungeniwekea ushahidi wa mahali alipozikwapua pesa hizo, ningekuruhusu uendelee kunitukana,

NB:usifikiri mimi nafurahia anachokifanya makonda, lakini uzushi hautusaidii mkuu.
uhitaji ushahidi wapi kakwapua
maadili ya viongozi yanataka maelezo ya mali unazomiliki umepataje
kwa kamshahara ka mkuu wa mkoa hawezi kumiliki hivyo viwanja vya mamilioni
labda unahitaji elimu flani kuhusu utumishi wa umma
 
uhitaji ushahidi wapi kakwapua
maadili ya viongozi yanataka maelezo ya mali unazomiliki umepataje
kwa kamshahara ka mkuu wa mkoa hawezi kumiliki hivyo viwanja vya mamilioni
labda unahitaji elimu flani kuhusu utumishi wa umma
-duh sawa mkuu.
 
Siku zote mlikuwa wapi msiseme acheni fitna
Tambua kila jambo huwa na mwanzo wake wa kulisema. Na si vizuri kukurupuka kusema jambo haraka. Kama haya yapo ama hayapo itajulikana tu. Ila kiukweli ndani ya utawala huu kuna sinema nyingi kuliko tawala zote zilizopita. Ni mimbwa mwitu katikati ya wanakondoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The only honourable advice to Paul Makonda, assuming what has been exposed here is true and correct, and that the evidence so tendered hereat is not a doctored document, just seek a ceremonious exit. Resign!
 
DUH!
 
Sasa nimeelewa kwanini uhuru wa habari unaminywa Tanzania.
 

WANANCHI WANYONGE WANAHANGAIKA NA MIGUU 20 KWA 20 HA HA
 
Ewe Mwenyezi Mungu Baba wa Rehema Muumba Mbingu na nchi na vyote vilivyomo Duniani.Kama ni kweli kwa hiki kinachonenwa kuhusu hawa watu, Na kama ni kweli kodi yangu inatumika kununua wabunge na madiwani, Kodi yangu inatumika kurudia rudia uchaguzi kwa 1.2b kwa kila jimbo,Kama ni kweli Mwenyezi Mungu Rais wetu anajipambanua kuwa ni kiongozi wa wanyonge huku akikataa kumboreshea maslahi mzazi wangu toka mwaka 2016 tokea alipompandisha daraja-yani kampandisha daraja lakini mshahara wake bado ni ule ule aliokuwa anaupata tokea mwaka 2011 basi mwenyezi Mungu Sema na yeye Bwana na sisi wananchi wako tupate kupona


I pray this in the name of Almighty GOD

GOD THE FATHER,GOD THE SON, GOD THE HOLY SPIRIT AMEN.
 
WATANZANIA JAMANI HUYU NI BABA WA MTOTO MMOJA NA WAKE WENGI MTAMUUA BURE JAMANI,DAAAAH LINATOKA HILI LINAINGA LILE,YAAN TOKEA AMCHOKOZE MAMVI NA ZITTO KABWE BASI MABALAA KILA KUKICHA DAAAAAH BORA AKAWAOMBE MSAMAHA
 
Vuta pichaaa nakumbuka tamthilia ya LA PAPTRONA Kuna mtu mmoja alijulikana kama JULIO MONTEMAL Huyu jamaa namfananisha DAB Tukienda ufilipino navuta picha namchukua JIWE Namfananisha na FRANCO V/S SAMWEL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…