Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tukiamua kuacha kujazana ujinga tunaweza. Ni maamuzi tu.Kumbe Hii ni moja ya Logic ya Kambi ya Upinzani Kulikimbia Bunge....Kama Ni Kweli Ni heri Wabaki Salama kulikoni Kufanyiwa Hicho Kitendo...Roho Mbaya ..Daaah!!!!
Kumbe Hii ni moja ya Logic ya Kambi ya Upinzani Kulikimbia Bunge....Kama Ni Kweli Ni heri Wabaki Salama kulikoni Kufanyiwa Hicho Kitendo...Roho Mbaya ..Daaah!!!!
Nani kawalazimisha hao Wabunge kurudi Bungeni? Kama hofu ni viti na meza zao hazitokuwa salama basi wasigombee tena Ubunge maana hiyo mission itakuwa bado ipo na haitokwisha leoKila siku kampeni ya kuwafukuza mjengoni ilipamba moto. Na ilikuwa ni jukumu la Spika na Naibu kutafuta sababu zozote kuwafungia wabunge hasa wa Chadema.
Sasa ghafla wabunge hao wameamua kuji isolate ili wasiambukizwe au kuambukiza wabunge wengine kwa siku 14...
ala kumbe Dar ni mali ya mtu .... kwamba unapokuja uje na taarifa sahihi...la karantine yako utaimalizia Segerea.Mmetoroka bungeni eti mnajiweka Karantini, sasa mnakwenda DSM kufanya nini wakati kila siku mnataka DSM ifungwe eti kisa CORONA?
Ni aibu kubwa sana !Kila nikitaka kumsifia jiwe nakumbuka anamlea bashite moyo unabadikika. Hili likilaza sijui alilichimbia wapi
Hiyo kali ya kukamatwa. Sasa wangekuwa wajanja wangekwenda tu katika majimbo yao najua wengi wana makazi au nyumba za kuishi labda tu waiachie Dar. Mbunge akiwa jimboni kwake hawezi kuitwa mzululaji.Kila siku kampeni ya kuwafukuza mjengoni ilipamba moto. Na ilikuwa ni jukumu la Spika na Naibu kutafuta sababu zozote kuwafungia wabunge hasa wa Chadema.
Sasa ghafla wabunge hao wameamua kuji isolate ili wasiambukizwe au kuambukiza wabunge wengine kwa siku 14.
Badala ya kufurahia absence yao, CCM imechukizwa sana na kulaumu na hasa kumshambulia Mbowe utadhani ni maamuzi yake binafsi.
Sasa ghafla RC Makonda naye anakuja na kitisho kipya ambacho wadadisi wa mambo wanahisi sio wazo lake bali katumwa.
Tetesi ni kuwa, viti na meza zao Bungeni hazingekuwa salama tena kwenye maambukizi kama mpango kabambe wa "futa, delete kabisa" na kwamba hata hiyo amri ya Dar kijingajinga waweza kukuta akakamatwa/wakakamatwa wabunge na wakiwa chini ya ulinzi kupakazwa vimelea vya ugonjwa huo.
Chadema na wabunge wenu kuweni makini kwani tetesi hizo mtaani haijulikani nani kazivujisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe siasa hujui fanyakazi inayokuhusu mkuu!!Hii ya leo ya Makonda inaleta ukakasi na kumpa mtu divergent thinking.
Kama waliweza kuwa na ujasiri wa kummiminia mtu risasi 38, kwanini wasitumie coronavirus kuwapakazia wabunge wa upinzani kwenye meza zao? This is avery simple lethal technique!
Kwa chuki iliyopo inawezekana sana tena sana. Upinzani kuweni macho sana tena sana.
Sijui lakini, kule China Kuna tetesi walitumwa Asymptomatic kwenda America kukohoa kohoa arround kwenye mikusanyiko then wakasepa na kuacha msala New York,Huyo anaenda kusambaza na kubakaza kwenye viti usalama wake unakuwaje? Na anakitunza vipi hicho kirusi cha korona ambacho hakionekani? Na kama ni hivyo walishindwa nini kufanya mapema. Hoja ya kipuuzi.
Mwenye akili za kufikiri mbali atawaza hivyo. Pamoja na kumpiga Lisu risasi, bado wakamfanyia unyama wa kutomtibu, kumvua ubunge etc. kama wanapata mwanya huu "mzuri" kwanini wasifanye hivyo. Hakuna ujinga hapa, unaangalia possibilities za watu unao na mashaka nao kufanya jamboTukiamua kuacha kujazana ujinga tunaweza kama tukiamua.
Kwa polisi ambao ni vidaka tonge hilo lawezekana , lakini what next ?Sasa subiri kwanza wakamatwe alafu mamlaka ya uteuzi itatoa taarifa kama anafaa au la
Bashite anatutoa kwenye wajibu wa MOH kutoa taarifa za covid19, watu wanataka kujua kwasasa sample wanapeleka wapi kupima covid19 baada ya ofisi ya maabara kushutumiwa kwa vipimo feki na kutumiwa na mabeberu? Ummy na Majaliwa mbona kimya sana kutoa taarifa?Suala alilolianzisha siku chache zilizopita la kusaka walanguzi wa sukari Mkoani Dar es Salaam limeshindika , hii ni kwa sababu DSM hakuna sukari madukani , hivyo haiwezekani kukamata ulanguzi wa bidhaa ambayo haipo.
Baada ya hili kumshinda sasa ameamua kuhamisha mada na kuiburuzia kwenye kuwakamata wabunge wa Chadema kwa tuhuma zinaitwa uzurulaji...