RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

images (2).jpeg
images (1).jpeg
images (4).jpeg
 
Hayo ni moja ya maamuzi ya kijinga sana kutaka kutumia sheria za RC kuweka ndani watu.

Nadhani Chadema sasa watumie CIVIL DISOBEDIENCE endapo kuna mbunge yeyote atakamatwa.

Sitashangaa kama ofisi za umma zitavamiwa na kuchomwa maana RAIA wamekasirika. Vituo vya mafuta jee? Nadhani jiji likichafuka dunia nzima itajiuliza kunani huko Tanzania? Maana hawa wanataka kuficha habari zao za kushindwa kudhibiti corona kwa kuwaharass wabunge wa Chadema.

Sheria gani inayo mlazimisha mbunge aingie bungeni? Ipi inamkataza kuwa Dar kama huko sio kwao.
Nitashangaa sana hili likipita, pengine vita itakayo anzia hapo ndio itabadili uongozi wa nchi. Sehemu nyingi zilizo ongozwa na wajinga, sababu za kijinga ndizo zimewaondoa



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh: Paul Makonda he was right...

Safi sana, warudi bungeni au wafutiwe ubunge.. Speka wa Bunge hapa ndiyo unapo takiwa kufanya great job
 
Atakae kamatwa akiwa Dar anaonewa pengine yawezekana amepeleka sample!
 
Mkuu inawezekana wangetumia approach nyingine ila unaunga mkono huu upuuzi na ujinga wa Makonda?
maamuzi mengi wanayofanya chadema huwa ni ya mihemko, wanaendesha hiyo taasisi kiharakati mno
 
Mkuu wa mkoa pekee ambaye huwa natamani wakuu wengine wa mikoa wafuate nyayo zake ni Antony Mtaka RC wa Simiyu huyu jamaa sijawahi kuona anafanya kazi kisiasa nadiriki kusema hatoshi tu kuwa mkuu wa mkoa bali anaweza kufanya kazi zaidi ya ukuu wa mkoa ni mtu mwenye akili sana katika uongozi.

Ma-RC angalieni mwenzenu anavyofanya kazi ana kitu cha kuwafundisha ni kijana asiyekikweza mbele ya vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom