RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Haha lazima tuwafute Dar nyie wahuni
Kuna jambo nilitaka kusema kuhusu hizi tabia za Makonda kuropoka ropoka na kuzifananisha na kijana mmoja akiyeathirika baada ya kufanyiwa unyanyasaji na mabasha huko Mombasa lakini nimeahirisha kwani itakuwa personal assassination

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimsingi hawa Wabunge walikubaliana kuji-Karantini kwa siku 14 mkoani Dodoma, huko Dar wamefikaj kabla ya siku 14 za Karantini?

Na wew Mdogo wangu Mchukua nauli kwenye daladala, lini mliweka masharti kwamba watu wasio kazini wa nje ya mkoa wa Dar hawaruhusiwi kuingia Dar? Nyie si ndo mlisema NEVER LOCKDOWN DAR ES SALAAM? Maana yake mnaendelea kupokea na kutoa.!

Naomba ukojoe ulale rafiki yangu! Utakuwa umechoka. Pumzika kidogo afu upate nafasi ya kutafakari ulichokisema, na authority yako katika hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wewe Jibu, je huyo jamaa yupo sahihi alichokisema na anachotaka kukifanya?
Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
 
Katika hili namuunga mkono mh Makonda kwa 100%

Wao wenyewe wamekiri bungeni kuna Corona sasa badala ya kujifungia ndani kwa siku 14 wanakuja Dsm kufanya nini kama si kuwaletea wananchi maambukizi?

Maendeleo hayana vyama!
 
Sijaelewa.....hapa..mkuu wa mkoa na mhimili wa bunge

Screenshot_2020-05-06-12-48-22-59.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabunge wa Chadema ni wahuni

Wamekimbia majukumu wanakula bata Dar
 
“Watakamatwa kwa kosa la uzurulaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurula usiku”.
 
"Tutawakamata kama machangudoa"..........F.Mbowe, J.Mnyika & Co, Huu ni udhalilishaji uliopitiliza kiwango
 
Makonda alitaka tu attention. Kwa kumjibu, tayari anaona fahari, dawa ya wapenda sifa ni kupiga tu kimya na kudeal nao perpendicular pale wanapoingia kwenye 18. Ila Makonda ni level za akina Silinde na Lijualikali sio wa kujibiwa na Zitto asee. Amepeishwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli nimesikitika sana wabunge wa Chadema kukimbia majukumu yao ya kibunge kama walivyotumwa na Wananchi
Kwa kisingizio cha corona

Walitudanganya wanaenda kujifungia kwa siku 14 matokea yake wanahudhuria kwenye kumbi za starehe dar

Hivi Watanzania tulilogwa na nani kuchagua watu km hawa?

Sisi wapiga kura tunapambana mtaani wao wamekimbia majukumu ya kibunge wanakula bata?

Makonda wape masaa sita warudi Dodoma hao, masaa 24 ni mengi sana
 
Back
Top Bottom