bulicheka 4
JF-Expert Member
- Mar 22, 2020
- 915
- 1,019
Nyie bwabwajeni humu mnjuwe mmesha fungiwa Uganda,Rwanda,Buju,Zambia endeleeni kijacho mbele ni giza totoro wenzenu walipoenda pamoja mlijiona wajanja ngoja na Beberu asuse mpaka dhabu yakoI
Popote utapopachagua mwenyewe. It can be in a room at your home. Hii ndiyo isolation ukijiona Afya yako huielewi au kama umeshatengamana na mtu mwene Covid-19.
Lakini pia kuna Hostel za Magufuli pale Mlimani ukipenda!
Watu wanaonenepa matako kuliko sehemu nyingine ya mwili wana akili ndogo sana, almost zero brain
OkKuji isolate maana yake kuwa pekee yako na hii inaweza kuwa chumbani kwako,hotelini,kwenye gari etc
Never, upupu siyo kama corona, corona ni kifo au uhai. Upupu utawashwa na yanaisha. Ngoma as directed by WHORetired, unadhani Corona ni sawa na ule upupu tuliokuwa tunapakazana shule ili mtu awashwe?! Unatumia science gani kwanza kucheza na hii ngoma?!
Lakn si huwa hamuwataki eti hawafai kuwa wabunge sasa mnataka wawasaidie nin huko Bungenimaamuzi mengi wanayofanya chadema huwa ni ya mihemko, wanaendesha hiyo taasisi kiharakati mno
Kwa bahati mbaya aliyeufunga sie aliyeujenga, kakubali yaishe.Samahani mkuu hivi kwani huu msikiti ulifungwa kwasababu ya Covid-19 ama kulikua na ukarabati?