RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

I

Popote utapopachagua mwenyewe. It can be in a room at your home. Hii ndiyo isolation ukijiona Afya yako huielewi au kama umeshatengamana na mtu mwene Covid-19.
Lakini pia kuna Hostel za Magufuli pale Mlimani ukipenda!
Nyie bwabwajeni humu mnjuwe mmesha fungiwa Uganda,Rwanda,Buju,Zambia endeleeni kijacho mbele ni giza totoro wenzenu walipoenda pamoja mlijiona wajanja ngoja na Beberu asuse mpaka dhabu yako
 
Watu wanaonenepa matako kuliko sehemu nyingine ya mwili wana akili ndogo sana, almost zero brain
 
Watu wanaonenepa matako kuliko sehemu nyingine ya mwili wana akili ndogo sana, almost zero brain

Kamanda ni wabunge gani wa chadema wamebaki Dodoma na kujikarantini?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Retired, unadhani Corona ni sawa na ule upupu tuliokuwa tunapakazana shule ili mtu awashwe?! Unatumia science gani kwanza kucheza na hii ngoma?!
Never, upupu siyo kama corona, corona ni kifo au uhai. Upupu utawashwa na yanaisha. Ngoma as directed by WHO
 
maamuzi mengi wanayofanya chadema huwa ni ya mihemko, wanaendesha hiyo taasisi kiharakati mno
Lakn si huwa hamuwataki eti hawafai kuwa wabunge sasa mnataka wawasaidie nin huko Bungeni
 
Vipi na yule aliye chato Mkuu wa Mkoa wa Geita aanzie huko.
Hawa jamaa wanaogopa upinzani kuliko Corona.
Si wabunge wa CCM wapo wenyewe Bungeni pitisheni kila mswada yanini kuumia na wapinzani.
 
IMG_20200506_161410.jpg
 
Mara paaap, Bashite anaagiza Majaliwa Kassimu akamatwe kwa kuwa hayupo Dodoma Bungeni kuiwakilisha Serikali. Bashite sasa anataka kuota mapembe.
 
Back
Top Bottom