RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Hawa viongozi wa namna hii (DAB, GAMBO NA CHALAMILA) wameletwa kuja kufungua wengi wa watu weusi akili zao ambazo zimelala sana na jambo bora ni kwamba bado wachanga sana.

Naamini kama watakuwa hai lazima watajibu na kama watakuwa wametangulia basi familia zao kuna baadhi mali zitataifishwa.

But am very sure watakuja kujibu sio kitambo sana.
 
Kuna wakati ukiwa na akili tumamu bora uwe mlevi wa pombe kuliko madaraka maana ulevi wa pombe madhara yataishia ndani ya familia yako na wakati mwingine wanaweza hata kukutenga lakini pia sio lazima mtu mbaya ukiwa mlevi wa pombe.

Sasa huu ulevi wa madaraka nimegundua ni hatari sana kwa familia na jamii nzima, kwanza watu hawawezi hata kukutenga na unajiona bora kuliko kila mtu. Wewe pekee ndio mwenye uwezo wa kuamua kuwa hiki ni bora na kingine hapana.

But niseme tu Afrika is a dead Continent, hatuwezi kufikiri wala kuchakata, kuwa na akili na uwezo wa kuchambua mambo sio jambo rahisi, tuna safari ndefu sana.
 
DAB kajitolea kushika nafasi ya kutoa maboko kwenye department ya propaganda kama vile Joti alivyokuwa anajitolea kuigiza mwanamke ze comedy ingawa wengine ni mara moja moja.
 
 
Ni majibu yenye msingi wa kisheria na kikatiba.....

Wasikilize kwenye audio video hii 👇 🙄👇👇
Your browser is not able to display this video.
 
Inapendeze sana viongozi wa upinzani kuhutubia taifa. Kazieni kabisa mtindo kwa kuhutubia taifa angalau mara moja kwa mwezi. Upinzani Tanzania oyee.
 
Makomda naskoa alikua anaitwaga Bashite kabla ya kupata vyeo alipopata vyeo akajiita paul Makonda sasa ajiandae akidha tola madarakani Athumani Omari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…