LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Yaani ningekuwa Mimi ndo niliyemteua ningefukuzulia mbali. Huyu anatia aibu serikali, anashindwa kujua hata majukumu yake.Makonda utaacha lini upopoma? Makonda mdogo wangu utaishi dunia gani wewe Makonda Makonda Makonda funga kinywa chako uwe na heshima zaidi.. umekuwa kama dudu washawasha linaputisha kila kitu shame on you
Hehe kwahiyo kwenda bungeni ni maradhi??Maradhi tangu lini yakawa wajibu?
Nimeamini jamaa kichwani hana kitu kweli yawezekana aliiba vyeti. Hivi Mkuu Wa mkoa hata hajui sheria na katiba za nchi. Nimeamini wateuliwa wengi wa JPM mabomu.Makonda kuna mambo huwa yanadhihirisha kabisa ni Bwege.
Inabidi yule wa maeneo ya Chato. Amkamate Mkuu wa kaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eli eli...kwanini?😄😄😄...Dah, huyu jamaa anafanya sisi tufanye judgement ya kabila zima...
NakufaaaaaaHatari sana watu wanawashwa
Ni RC pekee Tz aliyejuu ya mihimili yote mitatuZitto yuko sahihi. Tungekuwa Na rais anayeheshimu utawala bora Na katiba huyu angetumbuliwa ukuu Wa mkoa Mara moja...
Kweli Kabisa. Huyo dogo asilewe madaraka
hivi wasiojulikana nao mnaujua uchawi?Huyu zito anajivunia uchawi wa waha dawa yake ni kumletea uchawi wa kilingala tu ufanye kazi
Kachanganyikiwa sanaa. Mamlaka za uteuzi wake nazo ni hovyo na hazina Maana.Makonda nimeamini kachanganyikiwa