RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Makonda utaacha lini upopoma? Makonda mdogo wangu utaishi dunia gani wewe Makonda Makonda Makonda funga kinywa chako uwe na heshima zaidi.. umekuwa kama dudu washawasha linaputisha kila kitu shame on you
Yaani ningekuwa Mimi ndo niliyemteua ningefukuzulia mbali. Huyu anatia aibu serikali, anashindwa kujua hata majukumu yake.
 
Media nazo zimekua za hovyo Hazina balance ya story yaani kila habari hata isiyo ya muhimu wanarusha lakini kwenye mambo ya muhimu hawafanyi jambo lolote shame on you

Rest in peace Ruge enzi za uhai wako ulisimamia maadili ya media yako na hukuyumbishwa

Its not over until its over...[emoji769]
 
Mkuu wa nchi alisha sema wasipewe posho imetosha sasa mkuu wa mkuu wa mkoa anaingiliaje mambo yasiyomhusu. hahahaaaa... serikali ya awamu hatareee... viongozi wanaingiliana sana majukumu au ndio kukazia
 
Viongozi kama hawa ndio tunaowataka ktk nchi yetu, wenye misimamo bila kuogopa binadamu mwenzie ambaye ameumbwa kwa udongo na muda wowote ambao hajui anaweza kufa.

Hatutaki viongozi wanaojitakia mambo, na kutengeneza hoja zilizojaa chuki, go on Mheshimiwa Makonda, mimi naweza kufanya kazi na mtu kama huyu.
 
..
20200506_132320.jpg
 
Nimependa hitimisho. huyu bashite mpuuzi kweli yani
 
Natamani kuskia spika Ndugai anasemaje kuhusu hiyo kauli ya Makonda.
 
Back
Top Bottom