RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Hivi ukiwa mwana siasa ni lazima uwe na ka ugonjwa ka akili sometimes
 
Katumwa na bosi asiyetumia akili. Hayo ni moja ya maamuzi ya kijinga sana kutaka kutumia sheria za RC kuweka ndani watu.
Nadhani Chadema sasa watumie CIVIL DISOBEDIENCE endapo kuna mbunge yeyote atakamatwa.
Sitashangaa kama ofisi za umma zitavamiwa na kuchomwa maana RAIA wamekasirika. Vituo vya mafuta jee? Nadhani jiji likichafuka dunia nzima itajiuliza kunani huko Tanzania?...
Kwani itakuwa ni mara ya kwanza kwa wabunge wa chadema kukamatwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1588759880800.png
 
Hata Mimi naunga mkono, mkuu wa mkoa kapotoka vibaya mno

Naungana na Mh Zitto kupinga Ujinga huo wa mkuu wa mkoa,

Ila pia Kwa majibu hayohayo, Nanyi msimpangie Mh Raisi mahali pa kwenda kukaa

Kumbe sehemu ya nyinyi mkae wapi ni haki yenu pekee Ila linapokuja swala la Raisi kukaa wapi ndio apangiwe siyo??
 
Mbona wamekiuka
Ila si wapo karantini? Daah, sometimes huwa nawaza sijui wengine huwa wataishi milele?
Nashauri viongozi wawe na akiba ya maneno

Mbona wamekiuka maelekezo ya mwenyekiti Mbowe kwamba wabaki Dodoma na wasijiunge na familia zao siku 14, kwa hiyo hilo nalo watapewa barua za kujivua nafasi walizonazo au wataachwa tu. Wabunge wa chadema wana mdharau sana mwenyekiti.
 
A very cheap spin...
Hatuwezi kusahau sidiria ya papai Elizabeth Ann, kirahisirahisi...
Au juisi zetu za kutokea MADAGASCAR zikibebwa na dege la mizigo aina ya Durilimu laina...
Au kupiga nyungu!

Everyday is Saturday..................... 😎
 
Back
Top Bottom