Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udhaifu wa Ndugai umefikia Hapa sasa. Pro Assad alisema lakiniHuu ni zaidi ya Ujuha, yaani hajui hata mipaka yake ya kazi..Ndugai umeruhusu Bunge kuingiliwa ona sasa hata watoto wadogo wanalipanda kichwani.
Mbona chamwino na magogoni wahusika hawako huko ?Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
bashite ndio mpuu.zi hana mamlaka ya kulazimisha mbunge ahudhurie vikao bungeni, PeriodInasikiisha namna kiogozi mkubwa kama huyu anavyokosa busara, kwanza ni mtoro Bungeni halafu bado anatukana, very sad indeed.
Ndio iwe ya mwisho sasa. Heri hizo zingine pamoja na kuwa za misingi ya kionevu lakini zilikuwa zima sound kisheria zikihitaji majibu.Kwani itakuwa ni mara ya kwanza kwa wabunge wa chadema kukamatwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Amelewa madaraka huyo bwana mdogo anaona nchi hii kama yake! Unaanzaje kutoa ultimatum kwa Mtu ambae yupo nchini kwake? Kweli Kijana sio mfano wa kuigwa anaaibisha sana rika
Wabunge wamewekwa kundi moja na machangudoa.Sijawahi kuona popote duniani.Aisee
Inasikiisha namna kiogozi mkubwa kama huyu anavyokosa busara, kwanza ni mtoro Bungeni halafu bado anatukana, very sad indeed.
Ataufyata tuuu.Hana namna.Hii kauli hata waziri wa utawala bora Na katiba walipaswa kutolea kauli.Natamani kuskia spika Ndugai anasemaje kuhusu iyokauli ya Makonda.