RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Chadema wamezidi uhuni
Hakika CCM imekufikisha hapo!

FB_IMG_1584866129582.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto sema, sema usiogope sema x 3 Nyie Wabunge mnaogopa.....sema! Ndiyo kwanza timu zinaingia uwanjani. Kuna mtanange kweli kweli hapa...ha ha ha ha
 
Haahaa Massa 24 yanakwisha Msigwa.Mkuu Wa mkoa ameacha majukumu yake Na kuhangaika Na watu. Umakini Wa jpm ulipotea alipomteua huyu mwizi Wa vyeti.
 
Inasikiisha namna kiogozi mkubwa kama huyu anavyokosa busara, kwanza ni mtoro Bungeni halafu bado anatukana, very sad indeed.
 
Inasikiisha namna kiogozi mkubwa kama huyu anavyokosa busara, kwanza ni mtoro Bungeni halafu bado anatukana, very sad indeed.
bashite ndio mpuu.zi hana mamlaka ya kulazimisha mbunge ahudhurie vikao bungeni, Period
 
Mtu mjinga aking'ang'ania kufanya ujinga wake hugeuka kuwa mpumbavu!! Usimjibu mpumbavu kwa upumbavu wake atajiona ameerevuka!!
 
Hahah wameanza kujitaja

Mchungaji alifuata nini Dar kama sio kwenda kula kondoo
 
Ninachofurahi Makonda kawashika, huoni huo mwandiko ulivyojaa hasira ?
Inasikiisha namna kiogozi mkubwa kama huyu anavyokosa busara, kwanza ni mtoro Bungeni halafu bado anatukana, very sad indeed.
 
Back
Top Bottom