RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Bashite ni mpuuzi haswa mjinga wa kiwango cha degree wenzake wana degree ya elimu yeye ana degree ya upuuzi
 
Bashite kalewa MADARAKA......#ANA PENDA MAKIKI KAMA MSANII.
 
Hakuna guidance zinazoongoza viongozi kwa sasa. Mihemko, matamko, woga, wasiwasi na kuogopa kutumbuliwa ndivyo vitu vinavyo guide viongozi kufanya decision. SHAME!!!!
 
Hata Elimu Dunia nayo inakosekana? Dah aibu na ni msiba wa Taifa sijui kipimo cha teuzi ya huyu mtu ni nini? Maana inatia fedhea sana kuwa na mawazo ya hivi whaacha tuone Mzee wa fumigation
 
Hili ni janga sugu kwakweli hadi kufikia hapa tathmini ya kina inatakiwa sio kwa akili hizi
 
Ni katika nyakati hizi tu viongozi wengi hawana goals wala objectives wanazopaswa ku achieve every direction is the right direction!

performance haiwi measured wala kuwa monitored bali BOSS wao anachoangalia ni wapi wanakosea NO MORE NO LESS nayo ni SHAME!!
 
Mkuu wa mkoa pekee ambaye huwa natamani wakuu wengine wa mikoa wafuate nyayo zake ni Antony Mtaka RC wa Simiyu huyu jamaa sijawahi kuona anafanya kazi kisiasa nadiriki kusema hatoshi tu kuwa mkuu wa mkoa bali anaweza kufanya kazi zaidi ya ukuu wa mkoa ni mtu mwenye akili sana katika uongozi.

Ma-RC angalieni mwenzenu anavyofanya kazi ana kitu cha kuwafundisha ni kijana asiyekikweza mbele ya vyombo vya habari.
Hivi ndugu hapi yuko wapi
 
Back
Top Bottom