Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha kula kondoo tenaHahah wameanza kujitaja
Mchungaji alifuata nini dar km sio kwenda kula kondoo
Watakua kondoo wa Bashite na GwajboyHahah wameanza kujitaja
Mchungaji alifuata nini dar km sio kwenda kula kondoo
Hahahha.. Tena kawashika kweli,Ninachofurahi makonda kawashika, huoni huo mwandiko ulivyojaa hasira ?
Ukosefu wa akili ni kudhani kazi za mbunge ni kwenda kukaa ndani ya bunge tuu.Inasikiisha namna kiogozi mkubwa kama huyu anavyokosa busara, kwanza ni mtoro Bungeni halafu bado anatukana, very sad indeed.
Mkuu, una maana umejiridhisha Pasi na Shaka!!Kwa tamko hili nimeamini makonda aliiba vyeti
Hivi ndugu hapi yuko wapiMkuu wa mkoa pekee ambaye huwa natamani wakuu wengine wa mikoa wafuate nyayo zake ni Antony Mtaka RC wa Simiyu huyu jamaa sijawahi kuona anafanya kazi kisiasa nadiriki kusema hatoshi tu kuwa mkuu wa mkoa bali anaweza kufanya kazi zaidi ya ukuu wa mkoa ni mtu mwenye akili sana katika uongozi.
Ma-RC angalieni mwenzenu anavyofanya kazi ana kitu cha kuwafundisha ni kijana asiyekikweza mbele ya vyombo vya habari.