Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasiasa wanatafuta fursa yoyote hata ya kipumbavu ili waitumie kujinufaisha kisiasa. Upuuzi mtupu.Hii Corona Mungu atuepushie mbali.......vituko vimezidi sasa!
Chonde ndugu. Wote hatuko hivyo.Dah, huyu jamaa anafanya sisi tufanye judgement ya kabila zima...
Upinzani wa hovyo, chama Tawala nao wana viongozi wenye mawazo ya hovyo...yaani ngoma droo.Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
... ni wapi hakuna corona nchi hii?Watakamatwa kama wanavyokamatwa Machangudoa ila Makonda huu ujasiri ameurithi kwa nani? [emoji23][emoji23]
Na hao wabunge kwanini wasikae majimboni mwao wanakuja kukaa Dar kwenye Corona?
Wewe ni toilet paper ya lumumba na matumizi yake siku zote ni ya aina moja! Endelea kuwa kitakasa uchafu wa wakubwa zako!Yuko sawa tu
Kawaida Alcohol huwa kwenye pombe, lakini SIFA INA ALCOHOL NYINGI KULIKO POMBE. Kijana huyusifa zimemlevywaMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa Saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es salaam kuhakikisha wanarudi bungeni tofauti na hapo watakamatwa kwa kosa la Uzururaji. Mbunge anaepaswa kuwa Dar ni mwenye Kibali cha Spika tu.View attachment 1441377
Hizo club ziko wazi ili nani aende?Akili zenu ni za kulengea tundu la choo tuNyie wahuni lazima mkamatwe mmekimbia kujadili bajeti ya Wananchi mnashida club
Wala sishangai. Huyo ni Mropokaji wa TaifaAisee
Makonda amesema kuwa Mbunge anayepaswa kuwa Dar es salaam ni yule mwenye kibali au ruhusa ya Spika wa Bunge, tofauti na hapo ni vyema wakafunga virago vyao na kurudi Bungeni ili kuepuka kukamatwa.Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.