Abuu Abdurahman
JF-Expert Member
- May 9, 2017
- 1,448
- 1,790
Dahh mambo mengine ni viroja mno.. Mbona anko hayupo ofisini pia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati huo aliyeaminiwa na watanzania kuwa ikulu naye kakimbia ikulu katutelekeza sisi wapiga kuraUpinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
hakuna alilowahi kuanzisha akafanikiwa.Wala sishangai. Huyo ni Mropokaji was Taifa
[emoji23][emoji23][emoji23]nimekutoa wewe tuEli eli...kwanini?[emoji1][emoji1][emoji1]...
Dah!..huyu mkuu wa Mkoa wa "Tz" ana balaa kusema kweli.
Makonda ni mpuuzi!Msigwa bhna yeye anafikiri Makonda akimkamata atamfanya nini sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda una mambo mengi ambayo huyamalizagi ( unfinished Business) - JamiiForumshakuna alilowahi kuanzisha akafanikiwa.
Afadhali tamko la Msigwa kuliko la MakondaInasikiisha namna kiogozi mkubwa kama huyu anavyokosa busara, kwanza ni mtoro Bungeni halafu bado anatukana, very sad indeed.
Inakuhusu ninakoelekea? Yaani unanipangie niishi wapi?Yes inatakiwa ukisusa Bunge kaa kwenye Jimbo lako Sio uje mjin kula Bata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, yaani hata ukinipa Leo ukuu wa mkoa siwezi to a tamko kama la Makonda hata kwa wapinzani wa chama changu. MTU aliyeingia darasani anajulikana tu.Mkuu, una maana umejiridhisha Pasi na Shaka!!
Yaani kwa kimombo...Beyond a reasonable doubt..... ha ha ha
Chizi kapewa jalala."Rungu" lake alilipeleka China wamnolee😂😂😂😂😂Chizi kapewa rungu