RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

hakuna alilowahi kuanzisha akafanikiwa.
Makonda una mambo mengi ambayo huyamalizagi ( unfinished Business) - JamiiForums
images (1).jpeg
 
Duh! Hii ya Mithali 27:22 ndio nimeijua leo. Kwamba Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka..... 😂😂😂. Wahenga bwana....
 
Mkuu, una maana umejiridhisha Pasi na Shaka!!

Yaani kwa kimombo...Beyond a reasonable doubt..... ha ha ha
Kabisa, yaani hata ukinipa Leo ukuu wa mkoa siwezi to a tamko kama la Makonda hata kwa wapinzani wa chama changu. MTU aliyeingia darasani anajulikana tu.
 
KAMA NI KWELI KATAMKA HIVYO BASI KAMA TAIFA HIKO HAJA YA KUWAFUNZI VIJANA WETU NAMNA YA KUONGOZA. nilishawahi kuandika hapa kuwa, wakati wa chama kimoja kulikuwa na vyuo vya siasa huku kwetu ukerewe kilikuwa MURUTUNGURU. Nikashauri kuwa kuna haja ya vyama vya siasa kama vile CCM, CUF, CDM ,TLP na vingine vyote viwe na vyuo hivyo kama sheria zinaruhusu.

Mimi ni muhitimu katika chuo cha siasa Murutunguru. Sifa kuu katika vyuo hivyo ilikuwa kuwapika kiitikadi na kuwafunza na kuwaandaa vijana kuwa viongozi bora tena wenye maadili na nidhamu ya hali ya juu kwa chama na nchi.Tulifundisha misingi ya haki na miiko ya nchi hii za ni kutambua kuwa cheo ni dhamana. Kazi yeyote unayoipata ww umedhaminiwa na watu ili uwatumikie. KWELI KIONGOZI NGAZI YA MKOA ATAMKE HIVYO KWELI ?.

ENZI ZETU HATA BAROZI WA NYUMBA KUMI NA ELIMU YAKE YA SUBU ENZI HIZO ASINGEWEZA KUWAFUKUZA WATANZANIA KUKAA KATIKA NCHI YAO, MAKE MTANZANIA KUKAA SEHEMU YEYOTE YA TANZANIA AITAJI KIBARI. Sisi tulifundishwa katiba ya TANU yote na ulitakiwa uhifahamu na uishi inavyo taka. KAMA NCHI NAWAOMBA VIONGOZI TURUDI KATIKA MISINGI NA MIIKO YA UONGOZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom