Karungikana
JF-Expert Member
- Jan 8, 2017
- 913
- 844
Bwege namba moja. Lumumba akili zenu mnazijua wenyewe, kama za Bashite tuuu!Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwege namba moja. Lumumba akili zenu mnazijua wenyewe, kama za Bashite tuuu!Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
Lakini huoni kuwa vitendo vya mwenyekiti ni kama kukihujumu chama, kwani amewaondoa wabunge kipindi hiki cha janga la korona na pia wakati tukielekea uchaguzi mkuu.Ukosefu wa akili ni kudhani kazi za mbunge ni kwenda kukaa ndani ya bunge tuu.
Naanza kuhisi wewe stroke ni darasa na dawati moja na Bashite original.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂...hii kali aisee... 😃 😃
Makonda Ana akili timamu ila labda tuwe na wasiwasi na Bashite maana hata mtihani wa std 4 alifeli.Makonda ana akili timamu ?
Dr. Bashiru: RC Makonda na Chalamila wanatakiwa kurudi shule kusoma uongozi - JamiiForumsJamaa mjinga sana.Badala akue busara anakua msambwanda.Jus' a moron!😂😂😂😂
Kuna kijana wakati wa makuzi yake,kutokana na ufukara uliotamalaki kwake na familia,alidhalilishwa vya kutosha ikiwemo kufikia hatua ya kugeuzwa mwanamke. Alipopata madaraka,alifanya mambo ya ajabu ili tu ajitutumue na kuonekana kuwa yeye ana madaraka.Kuna jambo nilitaka kusema kuhusu hizi tabia za Makonda kuropoka ropoka na kuzifananisha na kijana mmoja akiyeathirika baada ya kufanyiwa unyanyasaji na mabasha huko Mombasa lakini nimeahirisha kwani itakuwa personal assassination
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao jamaa ni ma-hopelleses!Waangalie vizuri. Mmoja anaongea huku anauma ulimi..."the the the"...kama gunia nne. Mwingine ana kichwa kama punje ya mchele halafu mfupi. Unategemea nini hapo?😂😂😂😂😂😂😂
Huyu naye!!!! Uwakamate Kwa kuacha kazi waliotumwa na wananchi???
Hao wataadhibiwa na wananchi waliowatuma sio wewe bhana!! Inaonyesha Kwamba Kusoma sio kubadirika kumbe
Hehe kwahiyo kwenda bungeni ni maradhi??
Sheikh umeandika mambo makubwa ajabu!😂😂😂😂😂Kuna kijana wakati wa makuzi yake,kutokana na ufukara uliotamalaki kwake na familia,alidhalilishwa vya kutosha ikiwemo kufikia hatua ya kugeuzwa mwanamke. Alipopata madaraka,alifanya mambo ya ajabu ili tu ajitutumue na kuonekana kuwa yeye ana madaraka.
Wataalamu wa magonjwa ya akili na saikolojia wanasema, muathirika wa PTSD (Post-traumatic stress disorder) huwa na kawaida ya kujitutumua ili apunguze machungu kwa kuonyesha nguvu zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!Itabidi aitwe "binti kiziwi"!Maana anajidai hasikii kwa masikio pekee bila kushirikisha makalio yake😂😂😂😂Akifa atazikwa na jina gani kwenye msalaba au abatizwe mara ya pili