RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Ukosefu wa akili ni kudhani kazi za mbunge ni kwenda kukaa ndani ya bunge tuu.
Naanza kuhisi wewe stroke ni darasa na dawati moja na Bashite original.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini huoni kuwa vitendo vya mwenyekiti ni kama kukihujumu chama, kwani amewaondoa wabunge kipindi hiki cha janga la korona na pia wakati tukielekea uchaguzi mkuu.

Ninavyoona mimi Chadema hawana nia ya kurudi bungeni baada ya uchaguzi huu.
 
Nimejiskia aibu kabisa, Kuna mahala RC wetu kakwama. Nimekumbuka askofu alishawahi kumlaani huyu jamaa, sasa sijajua walipopatana kama askofu alifuta ile laana.
 
Shabbash..!!!, napenda viongozi wenye msimamo, Zamani Zitto Kabwe nilimuona legelege sasa hivi napata hisia amekomaa kisiasa, namkubali sana. Akigombea urais wala sitapepesa macho,.
 
Kuna jambo nilitaka kusema kuhusu hizi tabia za Makonda kuropoka ropoka na kuzifananisha na kijana mmoja akiyeathirika baada ya kufanyiwa unyanyasaji na mabasha huko Mombasa lakini nimeahirisha kwani itakuwa personal assassination

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kijana wakati wa makuzi yake,kutokana na ufukara uliotamalaki kwake na familia,alidhalilishwa vya kutosha ikiwemo kufikia hatua ya kugeuzwa mwanamke. Alipopata madaraka,alifanya mambo ya ajabu ili tu ajitutumue na kuonekana kuwa yeye ana madaraka.

Wataalamu wa magonjwa ya akili na saikolojia wanasema, muathirika wa PTSD (Post-traumatic stress disorder) huwa na kawaida ya kujitutumua ili apunguze machungu kwa kuonyesha nguvu zake.

Sheikh umeandika mambo makubwa ajabu!😂😂😂😂😂
 
Jamaa anapenda kiki kama wasanii wa WCB

Sent From Galaxy S20 Ultra
 
Akifa atazikwa na jina gani kwenye msalaba au abatizwe mara ya pili
 
Bashite wewe ni kituko haki tena..!

Ila kusema ukweli ukiwa mwelevu kisha ukawa unajiamini na huyu jamaa, sky is the limit nakuambia..
 
Kuna wakati nilisema hawa watoto wakiachwa waendelee hivi,kuna siku wata chukua wake za watu kwa nguvu.Ujinga,kiburi utaingiza Nchi kwenye machafuko. Nime kumbuka kesi hii, Republic vs Saidi Mwamwindi ya mwaka 1972.Said Mwamindi alimuua RC Wilbert Kleruu

Kwamba imefika mahali RC Paulo anaweza kuwapangia watu tena Wabunge wapi wana stahili kuwa? Nani anawapa huu ujasiri? tunako elekea ni kubaya sana? Kwamba Wabunge wana fananishwa na Chagudoa na wazururaji halafu Bunge litakaa kimya kwa sababu wanao fananishwa ni CHADEMA?

HATARI SANA
 
Back
Top Bottom