RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Mhhhh! Nahisi nipo nyuma sana, sababu sikumbuki ni lini Dar imepigwa lockdown. Huwezi mzuia mbunge asikae au asiingie Dar, jamaa kama kakurupuka hivi.

Kulamba miguu kubaya lakini. Sijui familia yake wanajisikiaje kwa anachofanya huyu jamaa.
 
Hii ya leo ya Makonda inaleta ukakasi na kumpa mtu divergent thinking.

Kama waliweza kuwa na ujasiri wa kummiminia mtu risasi 38, kwanini wasitumie coronavirus kuwapakazia wabunge wa upinzani kwenye meza zao? This is a very simple lethal technique!

Kwa chuki iliyopo inawezekana sana tena sana. Upinzani kuweni macho sana tena sana.
 
Ameshiba huyo,katiba ina mpa uhuru wa kila raia kuishi sehemu yeyote atakayo endapo atakuwa hajahukumiwa na mahakama.

Tuone atamkamata nani? Labda anatafuta cheo kipande.
Uropokaji na waropokaji aina hii ili kukomoa na kutisha watu kwa Jiwe, eti ndio Kuchapa kazi.
 
Kila siku kampeni ya kuwafukuza mjengoni ilipamba moto. Na ilikuwa ni jukumu la Spika na Naibu kutafuta sababu zozote kuwafungia wabunge hasa wa Chadema.
Sasa ghafla wabunge hao wameamua kuji isolate ili wasiambukizwe au kuambukiza wabunge wengine kwa siku 14.
Badala ya kufurahia absence yao, CCM imechukizwa sana na kulaumu na hasa kumshambulia Mbowe utadhani ni maamuzi yake binafsi...
Badala wahangaike na Sukari ambayo imekuwa bidhaa adimu, wanahangaika na watu waliyo jitosheleza kujiweka Karantini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msigwa bhna yeye anafikiri Makonda akimkamata atamfanya nini sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Makonda ni kama mbwa wa kufugwa tuu, jee unaelewa mahusiano ya Msigwa na mfuga mbwa?
Mfuga mbwa unajua aliwahi kutoa hazina milioni 35 ili zikamtoe Msigwa jela? Ila kwa uanaume wa Msigwa akazikataa?

Unadhani kukataa zile hela ndio mahusiano yao yalifutika? Halafu Makonda ajue, yeye sio mke kwamba lazima mwanaume atamsikiliza kila asemalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya leo ya Makonda inaleta ukakasi na kumpa mtu divergent thinking.
Kama waliweza kuwa na ujasiri wa kummiminia mtu risasi 38, kwanini wasitumie coronavirus kuwapakazia wabunge wa upinzani kwenye meza zao? This is avery simple lethal technique!
Kwa chuki iliyopo inawezekana sana tena sana. Upinzani kuweni macho sana tena sana.
Labda iwe ni chuki binafsi lakini siyo siasa!
 
Kumbe Hii ni moja ya Logic ya Kambi ya Upinzani Kulikimbia Bunge....Kama Ni Kweli Ni heri Wabaki Salama kulikoni Kufanyiwa Hicho Kitendo...Roho Mbaya ..Daaah!!!!
 
Hii ya leo ya Makonda inaleta ukakasi na kumpa mtu divergent thinking.
Kama waliweza kuwa na ujasiri wa kummiminia mtu risasi 38, kwanini wasitumie coronavirus kuwapakazia wabunge wa upinzani kwenye meza zao? This is avery simple lethal technique!
Kwa chuki iliyopo inawezekana sana tena sana. Upinzani kuweni macho sana tena sana.
Aliyeleta corona bungeni ni Mbowe Mugabe, basi tu busara za wabunge CCM na wachache wa CHADEMA zimetamalaki!
 
Kila siku kampeni ya kuwafukuza mjengoni ilipamba moto. Na ilikuwa ni jukumu la Spika na Naibu kutafuta sababu zozote kuwafungia wabunge hasa wa Chadema.
Sasa ghafla wabunge hao wameamua kuji isolate ili wasiambukizwe au kuambukiza wabunge wengine kwa siku 14.
Badala ya kufurahia absence yao, CCM imechukizwa sana na kulaumu na hasa kumshambulia Mbowe utadhani ni maamuzi yake binafsi...
Hangaika na wabunge wenu waliokataa amri ya Mbowe na ameaibika sana Mwenyekiti wa Maisha. Haingii akili wabunge wako wanakudiss!!
 
Yule aliyekimbilia CHATO hadi leo amejificha CHATO
Badala ya kupambana na Mwenyekiti kuwa ana kihujumu chama mnapambana na anayezidi kutia mafuta kwenye moto.

Hili swala la kukimbia bungeni kipindi uchaguzi unakaribia utawagharimu.
 
Back
Top Bottom