Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uropokaji na waropokaji aina hii ili kukomoa na kutisha watu kwa Jiwe, eti ndio Kuchapa kazi.Ameshiba huyo,katiba ina mpa uhuru wa kila raia kuishi sehemu yeyote atakayo endapo atakuwa hajahukumiwa na mahakama.
Tuone atamkamata nani? Labda anatafuta cheo kipande.
Kwanza mkulu arudi Dom au DarMh: Paul Makonda he was right...
Safi sana, warudi bungeni au wafutiwe ubunge.. Speka wa Bunge hapa ndiyo unapo takiwa kufanya great job
Duh! Hii ya Mithali 27:22 ndio nimeijua leo. Kwamba Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka..... [emoji23][emoji23][emoji23]. Wahenga bwana....
Badala wahangaike na Sukari ambayo imekuwa bidhaa adimu, wanahangaika na watu waliyo jitosheleza kujiweka KarantiniKila siku kampeni ya kuwafukuza mjengoni ilipamba moto. Na ilikuwa ni jukumu la Spika na Naibu kutafuta sababu zozote kuwafungia wabunge hasa wa Chadema.
Sasa ghafla wabunge hao wameamua kuji isolate ili wasiambukizwe au kuambukiza wabunge wengine kwa siku 14.
Badala ya kufurahia absence yao, CCM imechukizwa sana na kulaumu na hasa kumshambulia Mbowe utadhani ni maamuzi yake binafsi...
Makonda ni kama mbwa wa kufugwa tuu, jee unaelewa mahusiano ya Msigwa na mfuga mbwa?Msigwa bhna yeye anafikiri Makonda akimkamata atamfanya nini sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo kichaa alitakiwa afanyiwe alichofanyiwa Tundu LisuHii nchi ina viongozi wa ajabu kupata kutokea duniani.
Labda iwe ni chuki binafsi lakini siyo siasa!Hii ya leo ya Makonda inaleta ukakasi na kumpa mtu divergent thinking.
Kama waliweza kuwa na ujasiri wa kummiminia mtu risasi 38, kwanini wasitumie coronavirus kuwapakazia wabunge wa upinzani kwenye meza zao? This is avery simple lethal technique!
Kwa chuki iliyopo inawezekana sana tena sana. Upinzani kuweni macho sana tena sana.
Makonda hajitambuiKuna mwingine yupo Chato pia ana miezi kadhaa anakula kodi zetu, nipeni namba ya mkuu wa Mkoa wa Geita nimshtue amtimue pia
Kwani kadi ya keagan imeandikwa keagan Nani?Akifa atazikwa na jina gani kwenye msalaba au abatizwe mara ya pili
Sio "harafu" ni "halafu" .Ni sahihi kabisa ,haiwezekani sisi raia tumewatuma watuwakilishe harafu wanakimbia bunge
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumbu ni shida. Hujui wajibu wa wabunge?Acha ujinga kenge ww Kwan imenyimwa ww kula bata nguruwe ww
Sent by IPhone
Aliyeleta corona bungeni ni Mbowe Mugabe, basi tu busara za wabunge CCM na wachache wa CHADEMA zimetamalaki!Hii ya leo ya Makonda inaleta ukakasi na kumpa mtu divergent thinking.
Kama waliweza kuwa na ujasiri wa kummiminia mtu risasi 38, kwanini wasitumie coronavirus kuwapakazia wabunge wa upinzani kwenye meza zao? This is avery simple lethal technique!
Kwa chuki iliyopo inawezekana sana tena sana. Upinzani kuweni macho sana tena sana.
Hangaika na wabunge wenu waliokataa amri ya Mbowe na ameaibika sana Mwenyekiti wa Maisha. Haingii akili wabunge wako wanakudiss!!Kila siku kampeni ya kuwafukuza mjengoni ilipamba moto. Na ilikuwa ni jukumu la Spika na Naibu kutafuta sababu zozote kuwafungia wabunge hasa wa Chadema.
Sasa ghafla wabunge hao wameamua kuji isolate ili wasiambukizwe au kuambukiza wabunge wengine kwa siku 14.
Badala ya kufurahia absence yao, CCM imechukizwa sana na kulaumu na hasa kumshambulia Mbowe utadhani ni maamuzi yake binafsi...
Ukiwa hauna hoja ni busara kujinyamazia kwani itasaidia kuficha mapungufu yakoHuyu Zitto anajivunia uchawi wa waha dawa yake ni kumletea uchawi wa kilingala tu ufanye kazi
Badala ya kupambana na Mwenyekiti kuwa ana kihujumu chama mnapambana na anayezidi kutia mafuta kwenye moto.Yule aliyekimbilia CHATO hadi leo amejificha CHATO