Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe siasa hujui fanyakazi inayokuhusu mkuu!!
Aliyeleta corona bungeni ni Mbowe Mugabe, basi tu busara za wabunge CCM na wachache wa CHADEMA zimetamalaki!
Unajitekenya na kuchekaKila siku kampeni ya kuwafukuza mjengoni ilipamba moto. Na ilikuwa ni jukumu la Spika na Naibu kutafuta sababu zozote kuwafungia wabunge hasa wa Chadema.
Sasa ghafla wabunge hao wameamua kuji isolate ili wasiambukizwe au kuambukiza wabunge wengine kwa siku 14.
Badala ya kufurahia absence yao, CCM imechukizwa sana na kulaumu na hasa kumshambulia Mbowe utadhani ni maamuzi yake binafsi...
baada ya ile press its like COVID amerestishwa in peace ......Bashite anatutoa kwenye wajibu wa MOH kutoa taarifa za covid19,watu wanataka kujua kwasasa sample wanapeleka wapi kupima covid19 baada ya ofisi ya maabara kushutumiwa kwa vipimo feki na kutumiwa na mabeberu? Ummy na Majaliwa mbona kimya sana kutoa taarifa?
Ahaaa. Yaani mmekosa hoja mpaka mnachekesha watu bure. Any way mfa maji...Sijui lakini,kule China Kuna tetesi walitumwa Asymptomatic kwenda America kukohoa kohoa arround kwenye mikusanyiko then wakasepa na kuacha msala New York,,
Sidhani Kama hi consipiracy ilutokea kwa uhakika
Mkuu hebu jiongeze kidogo. Unakumbuka Mh Lissu alipigiwa wapi risasi?? Mitego ni mingi waache watu wapambanie uhai na maisha yao.maamuzi mengi wanayofanya chadema huwa ni ya mihemko, wanaendesha hiyo taasisi kiharakati mno
Unampangia mtu sehemu ya kuishi? Mwambieni basi Jiwe atoke huko Chato arudi ikulu kama imewauma sana! Mmepishwa bungeni, shida iko wapi? Ni mpuuzi anayefikiri anaweza kumpangia mtu aishi wapi na kwa wakati gani!Wacha awakamate kwani huko Dar ndio kwenye majimbo yao?kama wangekuwa majasiri wangerudi majimboni mwao wasaidiane na wananchi kupambana na Corona.Inachekesha mtu wa Iringa anaenda kukaa Dar na kuwaacha wana jimbo lake . Halafu mnalazimisha yupi yupo sahaihi aliyepo bungeni na yule aliyekimbia bungeni na kwenda kula raha Dar na mke wake badala ya kurudi jimboni apambane na corona akiwa na wananchi wake,halafu hawa hawa wahuni ndio unawasikia oh raisi atoke Chato aje ikulu wenyewe makwao wanakimbia,Chadema acheni utoto bana.
Samahani mkuu hivi kwani huu msikiti ulifungwa kwasababu ya Covid-19 ama kulikua na ukarabati?Mliopo Dar hebu tuambieni, korona imeisha na hali ni shwari kabisa huko, maana tunaona wachunguji sasa wanawaambia waumini wasivae barakoa, leo kuna uzinduzi wa msikiti wa mtoro, daladala watu wameanza kugombania, vp kwani, kakorona kameshasepa? au mzigo wa madagascar ushatua ndio maana jeuri inapanda?