Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha taharuki mtu hapangiwi sehemu ya kuishi ila anawajibika sehemu ya kuishi kutokana na majukumu yake,hao ndio walikuwa wanapiga kelele bungeni kuwa baba arudi kwenye makao yake nao tnawapigia kelele kama walivyokuwa wanpiga kelele kama hawako bungeni warudi kwenye majimbo yao kushirikiana na wananchi kwenye vita ya corona sasa huko Dar wameenda kufanya nini kama si kuzurura, bungeni hawapo na majimboni hawapo,aibu kwako na kwao.Unampangia mtu sehemu ya kuishi?Mwambieni basi Jiwe atoke huko Chato arudi ikulu kama imewauma sana!Mmepishwa bungeni,shida iko wapi?Ni mpuuzi anayefikiri anaweza kumpangia mtu aishi wapi na kwa wakati gani!
Acha taharuki mtu hapangiwi sehemu ya kuishi ila anawajibika sehemu ya kuishi kutokana na majukumu yake,hao ndio walikuwa wanapiga kelele bungeni kuwa baba arudi kwenye makao yake nao tnawapigia kelele kama walivyokuwa wanpiga kelele kama hawako bungeni warudi kwenye majimbo yao kushirikiana na wananchi kwenye vita ya corona sasa huko Dar wameenda kufanya nini kama si kuzurura, bungeni hawapo na majimboni hawapo,aibu kwako na kwao.
Wajinga na malofa mmejaa lumumba,heri muuze mzuti mtapata pesa kuliko kusifia usenge wenuUpinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
Kwani mkuu wa nchi alisharudi Ikulu?Mwambueni agombee udiwani wa Chato kama anapapenda sana huko! Tunajua kajificha kukwepa Corona!Acha taharuki mtu hapangiwi sehemu ya kuishi ila anawajibika sehemu ya kuishi kutokana na majukumu yake,hao ndio walikuwa wanapiga kelele bungeni kuwa baba arudi kwenye makao yake nao tnawapigia kelele kama walivyokuwa wanpiga kelele kama hawako bungeni warudi kwenye majimbo yao kushirikiana na wananchi kwenye vita ya corona sasa huko Dar wameenda kufanya nini kama si kuzurura, bungeni hawapo na majimboni hawapo,aibu kwako na kwao.
Kwani hiyo budget Ina Nini? mbona hasira sana au mmeshamuelewa mtemi chenge sasa mnatafuta wa kufa nse?Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
Huyu ni mpumbavu na anafanya vitu kumfurahisha mtu fulani huu ni ujinga na upuuzi wa kukemewa na kila mwenye akili timamu kwani yeye ni nani hadi ampangie mtu sehemu ya kuwa ndani ya JMT
Its not over until its over...[emoji769]
Hii haibadili uhalisia kua wabunge wa chadema wamekimbia bungeni tena kipindi karibiana uchaguzi mkuu, sasa naona mnatumia nguvu sana kuficha makosa ya mwenyekiti wenu.Wajinga na malofa mmejaa lumumba,heri muuze mzuti mtapata pesa kuliko kusifia usenge wenuView attachment 1441614
Sent using Jamii Forums mobile app
Karantini huwa ni wapi?Hawapo karantini wanazurura mitaani na kwenye mabara
Mnachokitafuta Tanzania mtakipata mashetani nyie ,Magufuli na upumbavu wake asidhani yupo salama sana kwa kuonea watu ajifunze kwa wapumbavu wenzake kina Al BashirUpinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
Eee Mungu wa Ibrahim nipe uhai nije nishuhudie hatma ya huyu Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Bashite a.k.a Zero Brain
Waswahili wanasema " ... Ngoma ivumayo hupasuka kwa mshindo ..."
Napia wakaongezea kuwa " ... Kilele cha majigambo na kiburi hushia kwenye bonde la msiba na majuto"
Kwakweli napenda kushuhudia hatma ya bwana huyu pale itakapo tumbukia katika bonde la msiba na majuto kutokana na kiburi na majigambo aliyonayo ...
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣yaani Makonda anatutukanisha wasukuma wote namna hii🤧🤧🤧🤧[emoji23][emoji23][emoji23]nimekutoa wewe tu