RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

Unampangia mtu sehemu ya kuishi?Mwambieni basi Jiwe atoke huko Chato arudi ikulu kama imewauma sana!Mmepishwa bungeni,shida iko wapi?Ni mpuuzi anayefikiri anaweza kumpangia mtu aishi wapi na kwa wakati gani!
Acha taharuki mtu hapangiwi sehemu ya kuishi ila anawajibika sehemu ya kuishi kutokana na majukumu yake,hao ndio walikuwa wanapiga kelele bungeni kuwa baba arudi kwenye makao yake nao tnawapigia kelele kama walivyokuwa wanpiga kelele kama hawako bungeni warudi kwenye majimbo yao kushirikiana na wananchi kwenye vita ya corona sasa huko Dar wameenda kufanya nini kama si kuzurura, bungeni hawapo na majimboni hawapo,aibu kwako na kwao.
 
Kwa hiyo huyo baba yako amesharudi kwenye makao yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyempa mamlaka ni Rais

Lazima awashughulikie sio kwenda kuvimba bar na kula kodi za wananchi kisa kuogopa ugonjwa wa kusadikika corona

Wazurulaji wote kama machangudoa lazima wakamatwe

Kwan Dar wanafanya nini kama sio umalaya, warudi majimboni kwao, Zitto angekua kigoma saizi

Hata Rais anajua, hana wasi wasi

Lazima tuwe na viongozi jasiri kama Bashite ili kuwabana wabunge vigagula kama hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
Wajinga na malofa mmejaa lumumba,heri muuze mzuti mtapata pesa kuliko kusifia usenge wenu
tapatalk_1582113385627.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha taharuki mtu hapangiwi sehemu ya kuishi ila anawajibika sehemu ya kuishi kutokana na majukumu yake,hao ndio walikuwa wanapiga kelele bungeni kuwa baba arudi kwenye makao yake nao tnawapigia kelele kama walivyokuwa wanpiga kelele kama hawako bungeni warudi kwenye majimbo yao kushirikiana na wananchi kwenye vita ya corona sasa huko Dar wameenda kufanya nini kama si kuzurura, bungeni hawapo na majimboni hawapo,aibu kwako na kwao.
Kwani mkuu wa nchi alisharudi Ikulu?Mwambueni agombee udiwani wa Chato kama anapapenda sana huko! Tunajua kajificha kukwepa Corona!

Hivi nchi hii kuna vita dhidi ya Corona?Mbona uko tofauti na mkuu wa nchi?

Naona na wewe unakiri kuwa Makonda ni mpuuzi kwani tamko lake ni batili kisheria!Hilo la kuwajibika kwa wananchi sikatai,lakini nijuavyo wemekubaliana kutokurudi majimboni mpaka siku 14 ziishe ili wajue status yao!
 
Upinzani wa hovyo mno, eti kukimbia wajibu wao wa kibunge ndio approach yao ya kuwafikisha ikulu.
Kwani hiyo budget Ina Nini? mbona hasira sana au mmeshamuelewa mtemi chenge sasa mnatafuta wa kufa nse?
 
Huyu ni mpumbavu na anafanya vitu kumfurahisha mtu fulani huu ni ujinga na upuuzi wa kukemewa na kila mwenye akili timamu kwani yeye ni nani hadi ampangie mtu sehemu ya kuwa ndani ya JMT

Its not over until its over...[emoji769]

Hii Covid-19 kwa Tanzania inatuonesha vitu vingi sana kama:
  1. Udhaifu wa Mfumo wa Utawala.
  2. Udhaifu wa Mkuu wa nchi.
  3. Udhaifu wa Maabara ya Serikali.
  4. Ujinga na upuuzi wa baadhi ya Mawaziri,Makatibu Wakuu,Wakuu wa (W) na (M) ktk kusimamia maelekezo ya Covid-19 toka kwa Wataalamu wa Afya.
  5. CCM kugeuza janga la Covid-19 Kama mtaji wa Kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020.
  6. etc.
 
Eee Mungu wa Ibrahim nipe uhai nije nishuhudie hatma ya huyu Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Bashite a.k.a Zero Brain

Waswahili wanasema " ... Ngoma ivumayo hupasuka kwa mshindo ..."

Napia wakaongezea kuwa " ... Kilele cha majigambo na kiburi hushia kwenye bonde la msiba na majuto"

Kwakweli napenda kushuhudia hatma ya bwana huyu pale itakapo tumbukia katika bonde la msiba na majuto kutokana na kiburi na majigambo aliyonayo ...

Siki hiyo ipo inakuja ni swala la muda tu naamini misemo ya Swahili huwa haidondoki ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kijana amelewa madaraka na tayari amejimilikisha DAR.Akumbuke hako kacheo ni ka muda mfupi tu,na atarudi kukaa uraiani bila hayo madaraka.Inawezekana hao anaowaambia waondoke DAR.ndo watawala wa nchi hii hapo baada ya mamlaka yake kukoma.Aanze kutafuta nchi ya kwenda kama mkimbizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno la kuwawakamata wabunge kama wanavyowakamata machangudoa. Hapo mheshimiwa mkuu wa mkoa umeteleza kidogo. Kuwafananisha wabunge ambao Ni wawakilishi wa wananchi na machangudoa Ni kuwatukana wananchi wao.

Waaombe radhi wananchi ambao waliwachagua wabunge hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eee Mungu wa Ibrahim nipe uhai nije nishuhudie hatma ya huyu Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Ndg. Bashite a.k.a Zero Brain

Waswahili wanasema " ... Ngoma ivumayo hupasuka kwa mshindo ..."

Napia wakaongezea kuwa " ... Kilele cha majigambo na kiburi hushia kwenye bonde la msiba na majuto"

Kwakweli napenda kushuhudia hatma ya bwana huyu pale itakapo tumbukia katika bonde la msiba na majuto kutokana na kiburi na majigambo aliyonayo ...

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa Watz wajue Kuna mchezo mkali Sana unaofanywa Kati ya Rais Magufuli, Bunge, Serikali na RC Makonda!

Rais Magufuli alimshutumu RC Makonda kwamba ile Fumigation(kupulizia madawa)iliyofanyika Dar ati kuua Virusi vya CORONA ilikuwa ni upuuzi mtupu maana baada ya fumigation TU maambukizi yakaongezeka. Magufuli akaagiza Uchunguzi ufanyike lakn mpaka saivi kimya!!!

Kwa hiyo basi Rais Magufuli, Spika Ndugai, Serikali na RC Makonda wanaitumia COVID-19 kuwachanganya Watz na hasa Wapinzani mainly CHADEMA!😎
 
Makonda hatanii, come tomorrow atawaswaga ndani.
Hana la kupoteza au kujutia ni mwendo wa fang fang.
 
Back
Top Bottom