Super Tuesday
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 636
- 727
Ndugu yangu nakupigia magoti ,jaribu kutumia japo theluthi ya akiri yako......Bado unabishana na facts kisa tu umtetee makonda ?????kweli,kweli ,umeamua kujitoa ufahamu?????? So sad brooooWatanzania kweli tumefikia pabaya badala ya kumuamini mungu aliyetuumba eti tunamwamini mangi kimambi
Udsm ndio wanawezaHata mimi nimeshangaa na bunduki clouds?, aiseee sasa Mange inabidi chuo kimoja kijitoe akili kimpe huyu mama PhD
Tuwekee link hapa Mkuu!Nimeiona, ni hatari
Tazama hapa.Daudi Bashite on Instagram: “***** ile story ya Jana ni kweli ushahidi huu hapa....Unaambiwa hapo wanajeshi wengine walibaki nje wanalinda mtu asiingie wala asitoke…” http://fxt1.uc.cn/3_sDef
----via UC Browser, superb video player.
Instagramu ni zile simu za zaman anayo mange kimambi mpigie akuelewesheInstgilam ndio nini jamani, huku kijijini hatuna setelait mweeh!
Mkuu tunaomba wekeni mkanda mzima ili hata sizonje aone mtu anayemgroom ni mtu wa aina gani
Watanzania kweli tumefikia pabaya badala ya kumuamini mungu aliyetuumba eti tunamwamini mangi kimambi
uko Koromije nini mkuu