RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

I saw it,uzuri napajua clouds Ile reception Ni yenyewe nilidhan Ile story Ni fiction kwa ushahid juu uncle magu bado atatia pamba masikion?da nahis bashite sio mzima anahitaj maombi wadau.Kama clouds wakiamua kuisambaza clip yote bas credibility ndogo iliyobak kwa bashite itaondoka kabisa,sehem nying mle ofisin Kuna CCTV camera sijui atachomokea wap?mwisho wa ubaya Ni aibu.Big up Mange,bravo sana
 
Bashite sasa amecross line. Hata watu waliokuwa neutral sasa wanaweza kupembua mchele. This is too far.

Mtu smart yeyote angejua jengo la Clouds TV litakuwa na CCTV camera. But then..huyu ni Bashite.
 
Watanzania kweli tumefikia pabaya badala ya kumuamini mungu aliyetuumba eti tunamwamini mangi kimambi

Haitwi Mangi Kimambi bali ni Mange Kimambi sawa? Binafsi sipendi kuwa Mnafiki au Mchoyo wa Sifa ila niseme tu ukweli kuwa nimegundua kuwa 99.9% ya yote anayoyasema huyu Dada ni ya kweli kabisa na nadhani huyu Mange Kimambi anaweza kuwa mfano bora na wa kuigwa wa Investigative Journalists kwani anafanya Vitu ambavyo kiukweli vimetukuka. Nadhani Watu kama hawa ndiyo wanastahili kupewa PhD na siyo wale ambao wanazuia kugombea TLS na kisha wanawatishia Watanzania kufunga Ndoa kwa Kigezo cha kutokuwa na Cheti cha Kuzaliwa.

Mwisho ukiona tu Mtu yoyote anampinga Mange Kimambi hasa kwa haya anayoyaibua basi jua kuwa Yeye ni Mfaidika wa udhalimu uliopo au Baba au Mama yake Mzazi wameguswa au pengine anaweza hata kuwa ni Mchepuko wa RC Bashite Makonda.
 
Hapa ndio ninapowapenda clouds.na ndio wanapowazidi wengi;Biashara kwanza. Chochote kinachotishia biashara yao wanajiweka pembeni kidplomasia. Well done.
Chama cha waandishi wa habari na wamiliki wa vyombo vya habari naamin hawatakaa kimya. Serikali ifanye linalotakiwa kujitenga na aibu hii. Kama ni wa muhimu atafutiwe nafasi chamani. Utumishi wa umma amechafuka sana.
 
Natamani faru asimtumbue makonda amuache tu aendelee kumvua nguo, akitoka huyu mengi hatutayajua, na waswahili wanasema ukimchekea sana mbwa atakufata mpaka msikitini, ni yanayowapata clouds kwa sasa, huyo ni mbwa wao wenyewe,
Kingine walichogundua hawa clouds moto waliokuwa wameuwasha ulikuwa mkubwa walijua mange hatawaacha salama, na gwajima asienyamaza angewavua vibaya, wamepima faida ijayo, wamegundua bashite ni kama mgonjwa wa kansa kufa lazima, sasa wamemtosa rasmi, hii video haijavuja imetolewa rasmi na clouds kujisafisha
 
Back
Top Bottom