RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Usiombe ulimwengu uwe mwalimu wako utapata shida sana.
Walipokuwa wakisema asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu walikuwa na maana kubwa sana ambayo Makonda/Daud na wengine hawakujua maana hiyo au waliipuuzia, dunia hii ni zaid ya Rais na wafalme wengine.
Kama Makonda angekuwa amefunzwa na mamaye(serikali ya ccm) basi ulimwengu usingeingilia kati kumtia adabu kiasi hiki.
Rais na watu wake naamini wamepata funzo kubwa sana hapa kuwa sio kila wanaopinga wana dhamira mbaya, wengine ni kutaka kumsaidia lakini yeye ameamua kuchagua upande wa kina Makonda
 
Nimekuja mbio mbio nikizani kuna footage daahhh btw kilichofanyika siyo sahihi kabisa
 
Mkuu wa polisi igp atoe ufafanuzi maana haya ni matumizi mabaya ya jeshi la polisi
Kweli rafiki mkubwa anaweza kugeuka na kuwa adui mkubwa, makonda sasa anagombana na kila aliyewahi kuwa rafiki yake
 
Eti naingiza kichwa tu
[emoji116]
Kwani uliambiwa ina mabega ile.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] narudi mida
 
Kumbuka kwamba wiki iliyopita Rais alipiga simu kwenye 360 na akasema anaangalia SHILAWADU. Makonda kusikia hivyo akasema Lazima amchafue Gwajima kupitia SHILAWADU ili na Rais aone.

Kwenye hiyo Clip ya Makonda kuvamia Clouds, nyuma yake kuna dogo mweusi mwembamba.

Huyo anaitwa BNB , ndio producer wa kipindi cha Shilawadu yaani huwa anatafuta umbea na kuwapa kina Sudi wafuatilie.

Nasikia Dogo ndio alilipwa na Makonda ili amchafue Gwajima kwa hiyo akamchomekea Sudi Brown jumba bovu ili aende kwa yule Mama.

Habari za uhakika ni kwamba hadi Ijumaa dogo alikuwa amefukuzwa kwenye kile kipindi. Makonda alipoona habari haiendi alimtafuta Dogo aeleze kwanini hajafanikisha kazi aliyotumwa.

Ndio pale unaona anaingia Mjengoni na dogo. Ndani aliingia na Askari watano na wengine walibaki nje kulinda mageti.

KUMBUKA BAADA YA SAKATA LA MADAWA, MAKONDA ALIONGEZEWA WALINZI ILI WAMLINDE DHIDI YA WATU ALIOWATAJA.

NA SASA HAO WALINZI NDIO ANAWAAMRISHA NA KUWATUMIA KWA MASLAHI BINAFSI. Hiyo inatia hofu kwa vijana wengine kupewa madaraka makubwa.

SHILAWADU . ..Poleni sana Shilawadu.



 
Zipo cctv camera za kituo kimoja cha redio na tv jijini Dar es Salaam zikimuonyesha mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda akiwa anaingia kituoni hapo na askari wa JWTZ aliyebeba silaha ya moto.


Video hiyo inaonyesha kuwa ndugu Makonda anatinga kituoni hapo kwa style ya kuvamia akiwa amebatana na kijana mmoja (mtangazaji wa kipindi kimoja maarufu kituoni hapo) askari mmoja wa jeshi la polisi na huyo wa JWTZ ambaye amening'iniza silaha na anafunga mlango huku akionekana kutoa amri kwa watu ambao wamebaki nje.

Sheria zetu zinasemaje kuhusu askari wa JWTZ? Kwanini RC aambatane nae tena akiwa na silaha ndani ya kituo cha matangazo?
 
The guy is no longer in stable mental condition at the moment. Bora angeendelea tu na likizo yake huko kwa Madiba.
At this stage alitakiwa awe mapumziko hata ya lazima kila hatua yake ya sasa anazidi kulikoroga na kuzidi kumchafua aliyemteua

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Wabongo bwana...

Tutajuaje kama hapo ni ofisi za Clouds media...
Tutajuaje kama ndio alikua ana kwenda kumchafua Gwajey na sio siku zingine za nyuma...

Kivideo chenyewe Robo lita.
Hata kama unajijua ni Fa Fa Fa basi jifiche usiuonyeshe kwa kila mtu.. Angalia hiyo video itakuonyesha muda na siku na kama unaangalia kipindi cha Shilawadu huyo kijana ungemfahamu
 

Jana tulisema hapa kwamba Kuna habari za Makonda kuvamia Clouds. Watu walikataa na kutukana sana bila kuvuatilia. Haya nendeni Instagram Mange kawawekea Ushahidi.

Yani Makonda anatumia vibaya sana madaraka yake. Mh Rais Please, stop this Man.
Mungu ndio atawaibisha tuuu
 
Upo sahii mkuuu. Tena hapa ana jeshi. Ni rahisi ndye anayeamrisha jeshi kutokea kwenye matukio kama hya. Yani hapa Magufuli anahusika moja kwa moja. Mkuu wa mkoa hwezi fanya hya bila baraka ya aliyemuweka hpa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…