RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Sniffing the truth here

Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu wako level ingine na hii ila huwa wanakujaga kwetu waki pretend ni kama wenzetu!
 
Sasa movie is over!

Bashite amenaswa kwenye kamera za CCTV za clouds tv akiwa amevamia kituo na polisi na kulazimisha kurushwa hewani mkanda wa kutunga unao mwonyesha mama aliyezaa na Gwajima?

Clip hiyo sasa imenaswa na Mange na inaonyesha kila kitu

Atatokea wapi ktk sakata hili jipya?

The movie is over

The end
 
Nao sasa wamemchomekea kwa cctv hizo haruki! Kudadeki hi inaitwa vi wonder series wacha niongeze popcorn hawa viongozi wa sasa sijui wa kizazi kipi! Maana hatuna sampuli hii tz! Ila sasa wametamalaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…