RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Paskali Mayalla.
Njoo umtetee rafiki yako Makonda.
 
Kama kichwa cha habari kilivyo. Kwa kweli tulishazoea kuona polisiCCM kwenye mambo kama haya lakini JWTZ kutumika this low kwa mambo ya kuvamia shilawadu kweli nimeshangaa sana. Sawa huyu jamaa ni kiongozi wa usalama dar but Ndio anauwezo wa kuwatumia hawa walinda mipaka namna hii. Nategema Tamko kutoka Jeshini maama imelichafua jeshi zima ........Ila mambo.mengine yanatia hasira kwa kweli.
 
Hii noma aisee yaani km Kosovo vile naona miti ishaanza kuteleza
 
Hivi clouds hamna Security Alarms?
Maana mmetegemea cctv , vipi huyo jamaa angecover sura yake??
Yani ilitakiwa hapo vilie ving'ora mtaa mzima uamke.
Mtu kuja usiku kwenye kituo cha habari bila kufata utaratibu na KUTUMIA UBABE ikiwemo kutumia VITISHO KWA SILAHA ni MHALIFU.
 
Kuanzie leo naanza kumuamini Mange. Tukianzia ile tuhuma ya mfalme kumpiga malkia mpaka kalazwa. Mfalme msaidizi kutaka kujiuzulu, bashite hudeal na wauza unga, bashite kupokea hongo kutoka kwa wauza unga. Na wabunge wa MCC kupokea hongo ya m 10 @1
 
Mheshimiwa huyu Bashite anayemng'ang'ania hivi na kumkingia kifua soon atamuacha uchi bila nguo. Mambo yanazidi kuwa dhahiri kadri siku zinavyosogea na aibu inazidi. Yaani mtu hadi anaamua kutumia vyombo vya dola kuvamia kituo cha habari kitangaze anayotaka bado mheshimiwa hahisi tu kuwa kuna sababu za kumchunguza huyu "malaika" wake?
 
Reactions: Qj_
zitakuja tu unadhani clouds tv wasingezitoa hizi in public kwa mange leo kungekalika maana aliahidi kutoa list ya vimada vilivyozalishwa na maboss wa clouds tv pamoja na ngazi za juu za nchi ya vi wonder na habari za maumbile yao ya siri
hi wikiendi imekuwa nzuri sana kwa sisi wapenzi wa Movies . mzee sasa pandisha clip ya jamaa wa shilawadu alivyopigwa mtama na mjeda
 
Nape Nnauye Nimepata kuangalia video ambavyo imewekwa kama ushaidi mkuu Wa mkoa katika kutumia madaraka yake katika kuzima kile ambacho kinaendelea juu yake..

Najua kabisa nape nnauye ndio msimamizi aliyeteuliwa na raisi Wa Tanzania katika kusimamia sekta ya habari..

Maswali yangu kwake..

Je ameona jambo ambalo limetendeka na mkuu Wa mkoa kwa clouds fm na kama ni kweli kilichotendeka nini kauli yake kwa kuakikisha analinda vyombo vyote vya habari kwa kile kinachoaminika ni matumizi mabaya ya madaraka?

Tusiangalie upande Mmoja kwa tuhuma ambazo clouds inabeba toka kwa wasanii ila naamini tukifanya ivi tutakuwa tunakosea kwa sababu leo kwa clouds Kesho kwa redio nyingine na nyingine?

Najua kama chama ina redio yake mambo kama aya yanapoletwa vyombo binafsi kwa kulazimisha ni kuhua nguvu watu walizotumia katika kuwekeza na kutoa ajira kwa watanzania wengi kwa jambo la MTU Mmoja tuu katika kuhakikisha jambo lake linakwisha.

Naamini kabisa nape ni MTU mwenye hekima atalifumbia macho jambo ili ikisibitika ni kweli ambacho kimefanya na mkuu Wa mkoa kwa clouds radio
 
Kama ingekuwa mimi ningekimbilia afghanistan kuomba hifadhi kwa miaka 80 upepo upite
 
Reactions: Qj_
wacha bwana,umeamka salama? ulikuwa mjengoni muda ule? kwenda hukooo
 
Tunaomba mkuu wa majeshi akemee hii tabia. Jwtz ni kulinda mipaka na siyo kutumika kwa upuuzi wa mkuu wa mkoa wa dar
 
Mi nimewaza labda hao walinzi alipewa kwa ajili ya kumlinda na mapapa wa madawa.
Ila kama kweli kaenda kutishia watu bas tamko tu litoke anatumia madaraka vibaya huyu bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…