ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Una uhakika alikuwa na wanajeshi wa JWTZ?Kama kichwa cha habari kilivyo. Kwa kweli tulishazoea kuona polisiCCM kwenye mambo kama haya lakini JWTZ kutumika this low kwa mambo ya kuvamia shilawadu kweli nimeshangaa sana. Sawa huyu jamaa ni kiongozi wa usalama dar but Ndio anauwezo wa kuwatumia hawa walinda mipaka namna hii. Nategema Tamko kutoka Jeshini maama imelichafua jeshi zima ........Ila mambo.mengine yanatia hasira kwa kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kusaga huko aliko naona presha imeshuka. Maana leo tulikua tunakiona kibamia chake Live.zitakuja tu unadhani clouds tv wasingezitoa hizi in public kwa mange leo kungekalika maana aliahidi kutoa list ya vimada vilivyozalishwa na maboss wa clouds tv pamoja na ngazi za juu za nchi ya vi wonder na habari za maumbile yao ya siri
Watakusikia warumi na cocochanel wewe... shauri yako!!
Kashtaki pale magogon?Habari kama hizi za kichochezi na za uzushi ndizo zinazotuponza wanaJf mbona tuliokuepo mjengoni mda huo hatujasikia lolote na hakuna chochote kilichotokea.
Au umetumwa?
Clouds ni taasisi kubwa inayoongozwa kwa misingi na taratibu zake haiwezekani mtu from no where aje tu aingie mpaka peoduction bila kufata utaratibu!
Acha uzushi watanzania puuzeni hizi taarifa si za kweli!!.
Ngoma inogile... Sasa ni wazi kuwa yy ni Bashite mnakoromije....
Cc. Cocroach a.k.a cocochanel
BIBI YAKO NDO ANAYO YA UKWELI? mwambie basi alete! nyooooooohiyo video ni ya uongo
Kidoti alisema au unataka nimuite BASHITE.Le Generali mbabe wa vita... [emoji59] [emoji59]
utakua le mtumboz tuu wewe cocochanel maana umezid kujitoa ufahamu mpaka una boa umu jukwaanLol Chige
Waliandika askari nane, na receptionist alipigwa mala fujo, bunduki juu juu kama vitani.
Clip inaonyesha mengine kabisaaa, wanabadili gia angani kuvutana wazidi kudanganyana hao waliosoma div 1*.
Wasiojua kutumga uongo, bora wanaoiba vyeti kiukweli wana akili zaidi yao.
Vyeti to magari to ujambazi to......
Makonda jembe
Oyeeeeee
BASHITE THE BANDIT PART 2
Ruge alikuja na bastola ila gaidi Bashite alikua ameshaondoka na jeshi lake.Unajua kuna mambo mengine sijui hata nisemaje .hivi kwa mfano hapo Clouds kungekuwa na mtu mwenye bastola majibizano yakatokea hali ingekuwaje ?
Alichofanya Makonda hakina tofauti na ujambazi cha ajabu ataendelea kukingiwa kifua tu
Waliomfanya awe hivi alivyo sio Clouds bali ni Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania; Mheshimiwa Rais John Joseph Pombe Magufuli... huyu ndie kamuotesha mapembe Bashite!!!Hapana simaanish juu ya hii issue ya juz,namaanisha all days back ni Hao CLOUDS ndio walimlea ndo walokua wakimtetea na kumfanya vile alivyo