Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Nakutakia cocochanel Jumapili njema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kusaga ni msukuma na mwanasheria masaju pia ni msukuma mimi najua ni watu wa mkoa wa Mara lakini nilisahau watanzania wote ni wasukuma"Hiki kitendo hakina tofauti na UHAINI, yaani pale angeweza kuchukua mike na kuamuru kamera upande wake na kutangaza AMEPINDUA SERIKALI! Kizaa zaa gani kingetokea?
Najua mkurungenzi mdogo Ruge hatokubali, lazima jambo litendeke kuhusu tukio hili."
cc: Mwigulu Nchemba , Nape Nnauye
Asante mkuu Kwa kurejesha avatar picha yako inayoendana na meinkempf. Naona umerudi jamvin Kwa kas ya ajab baada ya kupotea Kwa muda. Nakumbuka enzi za magu akiwa bado mgen ikulu ulikuwa unashusha nondo humu jamvin ukimsifu. Nakumbuka nikiwa mgen JF 2013 ulikuwa unapenda kutumia neno "vitu vyenye ncha kali" Yani visu nk na "vitu vyenye ncha kali vinavyoruka hewan Kwa kas ya ajab" risas. Nakumbuka nondo zako za yule housegeli uganda aliyemtesa mtoto
Wamejichafua zamani sana walipoanza kuingilia uchaguzi, sasa wanajinesha waziwazi, si tumemuona yule Canal ambae ni mkuu wa wilaya kule kigoma jana "anaharibu" mashamba ya bangi huku amevaa uniform za JWTZ? Ina maana yule bado hajastaafu jeshini. Wakati tunaambiwa nchi hii ni ya kidemokrasia sio under military rule. Hebu wanaolewa watueleweshe hii imekaaje.JWTZ naomba msikubali Makonda kuwachafua..
CDF kemea hili...Jeshi letu litaonekana la hovyo sana..
Wewe mbona unatumia jina bandia?Ha ha haaaaaaaa
Una yako wewe, ulikuwepo ukayaona na macho yako au ya bundi!?
Nenda kimbilia kabisaaaa na uwahi kesho
Unaadika nyuma ya ID feki weka jina kama wewe shupavu.
Hii Raisi akipuuzia kuna siku mtu atateka kituo cha habari na kukitumia kutangaza mapinduzi ya nchi..Hivi clouds hamna Security Alarms?
Maana mmetegemea cctv , vipi huyo jamaa angecover sura yake??
Yani ilitakiwa hapo vilie ving'ora mtaa mzima uamke.
Mtu kuja usiku kwenye kituo cha habari bila kufata utaratibu na KUTUMIA UBABE ikiwemo kutumia VITISHO KWA SILAHA ni MHALIFU.
Ndugu yangu Nyani Ngabu huyu jamaa anawatia aibu nyie watu wote mnaotokea usawa wa Kolomije!!
Jana ulipinga makonda hawezi kuvamia kituo..leo umebadilishia gia wapi wewe?Lol Chige
Waliandika askari nane, na receptionist alipigwa mala fujo, bunduki juu juu kama vitani.
Clip inaonyesha mengine kabisaaa, wanabadili gia angani kuvutana wazidi kudanganyana hao waliosoma div 1*.
Wasiojua kutumga uongo, bora wanaoiba vyeti kiukweli wana akili zaidi yao.
Vyeti to magari to ujambazi to......
Makonda jembe
Oyeeeeee
Atakwambia walienda kuhakiki silaha zaoutakua le mtumboz tuu wewe cocochanel maana umezid kujitoa ufahamu mpaka una boa umu jukwaan
[HASHTAG]#footageNo2[/HASHTAG] iyo apo wana onekana askari zaid wakiingia ofisin umo
swali kwako kilaza ww unazan hao jamaa waliingia kufanya nini ofisin na hiyo mitutu ya bunduki..???
Mpaka sasa wanaomtuhumu Makonda kwa kufoji vyeti hawajaleta ushahidi wa aina yeyote kuthibitisha tuhuma zao.Baada ya kushindwa kuleta ushahidi sasa wanataka Makonda eti aanze yeye kuwaonyesha vyeti vyake. Yaani ni kichekesho cha mwaka