Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Nyani Ngabu sisi wenye mawazo ya kijuha tunazidi kuongezeka siku hata siku kutokana na matendo ya hao kina Makonda na Magufuli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure nakumbuka uhodari wako wa kumtetea jamaaAh! coco bhana... najua unajikaza ki-soap tu hapo, huna lolote!!! Ukibeba mzigo ukakuzidi nguvu; unaudondosha tu... simple! Back then, mwenzako nilikuwa namteteaga Bashite humu lakini hili zigo la safari hii nilipoliona tu; kwa mbaaaaaaaaaaaaali; nikajua ni zigo la misumari hili; halibebeki!!! Mwenzako mapeeeeeeeeeema; since day one nikasema hili la safari hii ni lako peke yako; na wala sitakaa kimya... nitakuwa nakutandika barabara as if sijawahi kukutetea huko nyuma!!!
Kwahiyo endelea tu kujikaza ki-soap! Chozi likikukaba liachietu hata kwa mayowe na nitakubembeleza!!!
Nyani Ngabu sisi wenye mawazo ya kijuha tunazidi kuongezeka siku hata siku kutokana na matendo ya hao kina Makonda na Magufuli!!
MkasaKisa!?
Tuwape hadi kwsho mkuu..Ndiyo maana ya Magu kumteua mtu wa kanda yake ili wamtumie wanavyotaka. Mkuu wa majeshi akinyamazia hili basi jibu tutakuwa tumelipata
Habari kama hizi za kichochezi na za uzushi ndizo zinazotuponza wanaJf mbona tuliokuepo mjengoni mda huo hatujasikia lolote na hakuna chochote kilichotokea.
Au umetumwa?
Clouds ni taasisi kubwa inayoongozwa kwa misingi na taratibu zake haiwezekani mtu from no where aje tu aingie mpaka peoduction bila kufata utaratibu!
Acha uzushi watanzania puuzeni hizi taarifa si za kweli!!.
Kama huna vyeti bora ufunge mdomo wako....kusoma hujui ata picha....?.***********............YOUahahaaa rusha tukio lilivokuwa la sivo hatutokuamini
Yah man... kwa kawaida huwa sina tatizo na mtu kama mtu bali huwa nina tatizo na issue! Mtu akifanya jambo ambalo kwangu naliona ni right; nam-support bila kujali chama chake lakini huyo huyo akizungua kwa issue nyingine; nampa vitofa kwa nguvu ile ile niliyokuwa naitumia kum-support!!!Sure nakumbuka uhodari wako wa kumtetea jamaa