RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Hii habari nilikuwa siiamani lakini sasa clip teyari iko kwenye Instagram ya Mange Kimambi na amei-post muda si mrefu.

Haya ni mambo ya ajabu sana kwakweli.
Kwangu mimi kwa ushahidi huu naamini kabisa Mwisho wa Makonda kuwa RC wa dar umefika,wiki ijayo haipiti bila jamaa kutumbuliwa unless hii action iwe na baraka toka kwa "Mpenzi namba moja wa SHILAWADU"...
 
Wakuu hyo habari kusema Rc ea Ddm aliingia Clouds na Adkari mwenye silaha za moto, ni kweli taarifa ya cctv, clouds media imetoa siri yote sasa Huyu ndio Makonda anaewaongoza watu wa guko Dsm, kwa watu anaonekana mtakatifu lkn jamaaa kaingia na polis clouds na silaha za moto

.............imeshindwa kuja aiseee

Source: insta page ya Askofu Gwajima..Now

Mtu anisaidie ku upload.

 
Aaah Kweli ngoja niwawekee hapa soon
1489905505486.jpg
 
Haha nasoma zangu novel ya [HASHTAG]#dicteta[/HASHTAG] must fall uwiiiiii Niko kurasa za mwisho mwisho
 
gwajima akapime damu kwani kuna ubaya gani mbona alikubali kupimwa kama anatumia sembe
 
Duh. Akiamungu sina imani na hii serkali tena. Watanzania tupo matatani. Twafaaaa.
Mi sikuamini.

Mange asante. U were born to save Tanzanians
 
Hii habari nilikuwa siiamani lakini sasa clip teyari iko kwenye Instagram ya Mange Kimambi na amei-post muda si mrefu.

Haya ni mambo ya ajabu sana kwakweli.
Aise nimeiona huyu RC ni zwazwa sana bora awaongoze huko huko dar tu ndio wanamtetemekea.....tena kibaya zaidi kabeba polisi na wanajeshi kabisa wamebeba na silaha kwenda kumsindikiza kwenye uhalifu....

Shame on him na aliyempa cheo hicho
 
Back
Top Bottom