Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu mimi kwa ushahidi huu naamini kabisa Mwisho wa Makonda kuwa RC wa dar umefika,wiki ijayo haipiti bila jamaa kutumbuliwa unless hii action iwe na baraka toka kwa "Mpenzi namba moja wa SHILAWADU"...Hii habari nilikuwa siiamani lakini sasa clip teyari iko kwenye Instagram ya Mange Kimambi na amei-post muda si mrefu.
Haya ni mambo ya ajabu sana kwakweli.
Wakuu hyo habari kusema Rc ea Ddm aliingia Clouds na Adkari mwenye silaha za moto, ni kweli taarifa ya cctv, clouds media imetoa siri yote sasa Huyu ndio Makonda anaewaongoza watu wa guko Dsm, kwa watu anaonekana mtakatifu lkn jamaaa kaingia na polis clouds na silaha za moto
.............imeshindwa kuja aiseee
Source: insta page ya Askofu Gwajima..Now
Mtu anisaidie ku upload.
Nimeiona, sasa ni magu tu aamue.
Aise nimeiona huyu RC ni zwazwa sana bora awaongoze huko huko dar tu ndio wanamtetemekea.....tena kibaya zaidi kabeba polisi na wanajeshi kabisa wamebeba na silaha kwenda kumsindikiza kwenye uhalifu....Hii habari nilikuwa siiamani lakini sasa clip teyari iko kwenye Instagram ya Mange Kimambi na amei-post muda si mrefu.
Haya ni mambo ya ajabu sana kwakweli.