RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

Duh.
Hivi inawezekana eeh. Kushusha bei ya vinywaji!
Hii hatari sana kama kiongozi ndio anasema hivi. Ni matumaini yangu hajasema huu upuuzi yeye.
 
mtajiuliza maswali sana ila he owns the city ni ukweli usiopingika ana influence , akitoka raisi yuko powerfull sana nguvu nyingi imetumika kumwangusha ila woii hata hajatingishwa kucha ....sema sijui pesa anatolea wapi maana ukionganisha maneno yake duuuu utadhani mo *2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili tangazo lingempendeza zaidi Konk likwid anyway Raisi wa mkoa asha-intervene na hili.
Bila kusahau aseme anaahirisha kusumbua wanaume na tezi dume zao. ....hapo Taifa stars itacheza mpaka na mashabiki wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
bia zingeuzwa buku-buku hapo uwanjani, kama vipi walete hata ule mzigo wa bia unaokaribia ku-expire.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…