brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
- Thread starter
- #21
Mkuu usiseme hivo wengine tunataka kuiona stars AFCONUzuri hajawahi kufanikisha kitu, yote huwa yanaishia njiani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usiseme hivo wengine tunataka kuiona stars AFCONUzuri hajawahi kufanikisha kitu, yote huwa yanaishia njiani.
Hilo ni zuzu anaongea yeye kama nani na ana mamlaka gani ya kushusha vinywaji yeye kawa msemaji wa wafanya biashara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app[/
MM kwa kocha na wachezaji tulionao nina mashaka na ushindi. Ikiwezekana kama waganga wa jadi wanasaidia tuwatumie pia. Pia tumtumie yule mganga wa yanga na hata yule wa mbao fc
Juliana Shonza WakudadavuwaHuyu mkuu wa mkoa kweli ni Naibu Rais kila sehemu yupo naona sasa hivi kawaovertake Shonza na Mwakyembe.
BASHITE ni tusi kubwa, bora Uwe Kilaza kuliko kuwa BASHITEHilo ni zuzu anaongea yeye kama nani na ana mamlaka gani ya kushusha vinywaji yeye kawa msemaji wa wafanya biashara?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa adhimu, ngoja cc wa mwalusembe tujongee dar maana inapendeza sanaMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
Fursa adhimu, ngoja cc wa mwalusembe tujongee dar maana inapendeza sanaMkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.
Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe
View attachment 1050521
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mkuu wa mkoa kweli ni Naibu Rais kila sehemu yupo naona sasa hivi kawaovertake Shonza na Mwakyembe.
Hakuna kampeni au tamko hata moja alilotamka likatekelezeka! Hakuna alichokisimamia kikafanyika na kufanikiwa..mtajiuliza maswali sana ila he owns the city ni ukweli usiopingika ana influence , akitoka raisi yuko powerfull sana nguvu nyingi imetumika kumwangusha ila woii hata hajatingishwa kucha ....sema sijui pesa anatolea wapi maana ukionganisha maneno yake duuuu utadhani mo *2
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi inaanza saa 12 jioniSijajua hiyo match itachezwa na kuisha muda gani,ila Bashite ni laghai kubwa sana.
Kuna sehemu nimekumention nimekutana na mtu kaweka avatar kama yako nilijua I'd yako ya pili [emoji1787]Lemutuz bhana