RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

Mmmmh
IMG_20190319_112430.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ndipo napomdharau huyu mkuu wa mkoa, mambo anayofanya mengine anajidhalilisha na kuaibisha nafasi aliyonayo

Hilo ni swala ambalo haliwezekani,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ameahidi Kama taifa stars itamfunga Uganda jumapili Basi Bei ya vinywaji vyoye jijini vitashushwa kwa masaa 6 ili watu washerekee.

Hi ni habari njema kwa wazee wa Gambe

View attachment 1050521

Sent using Jamii Forums mobile app

Haya matamko mengine inabidi mtu afikirie vizuri.
Hivyo vinywaji ni vyake?
Kama siyo vyake anawezaje kupangia wafanya biashara bei bila utataratibu? Au ataamuru buge lipunguze bei.
Anaweza sema kuwa atalipia hilo ongezeko, je anajua ni kiasi gani cha vinywaji kitatumika?

Aache hayo matamko ya kishabiki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huonagi thread za watu wanalialia kukimbiwa bada ya kutuma nauli na block juu
Hao wanawashwaga na Id mpya ndo yanawakuta hayo.. Iv ni nauli tu ndo mnawekeana na block juu
 
mtajiuliza maswali sana ila he owns the city ni ukweli usiopingika ana influence , akitoka raisi yuko powerfull sana nguvu nyingi imetumika kumwangusha ila woii hata hajatingishwa kucha ....sema sijui pesa anatolea wapi maana ukionganisha maneno yake duuuu utadhani mo *2

Sent using Jamii Forums mobile app
Atawafidia wafanyabishara katika hilo punguzo la bei? Influence yake ndani ya jiji inahusiana vipi na kupunguza bei za vinywaji ndani ya jiji...
 
kwa hiyo wafanyabiashara watalazimika kushusha bei?
 
Mi sijaelewa namna atakavyo fix hvo vinywaji kwa wauzaji
Kwa nilivomuelewa,anasema kuwa watafunga baadhi ya mitaa na kufanya party,pia vinywaji vitakua nusu bei

So hiyo nusu bei labda itakua kwenye hizo sehemu itakapofanyika hiyo party kama Taifa stars ikishinda.
 
Back
Top Bottom