RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

RC Makonda: Bei ya vinywaji itashushwa kwa masaa 6 Dar kama Taifa Stars itaishinda Uganda

Kuna sehemu nimekumention nimekutana na mtu kaweka avatar kama yako nilijua I'd yako ya pili [emoji1787]
Sijapata iyo notification mchuchu,. inaweza kuwa na yeye niwa Compton. I'd yangu ya pili ile nimesahahu password
 
Sijapata iyo notification mchuchu,. inaweza kuwa na yeye niwa Compton. I'd yangu ya pili ile nimesahahu password
Ila hiyo I'd ni ya kihenga nikakumbuka ulishawahi niambia hahahahaha thread hapahapa habari na hoja mtu kaibiwa vifaa vya gari
 
Uzuri hajawahi kufanikisha kitu, yote huwa yanaishia njiani.
HATERS MTAKUFA NA KIJIBA CHA ROHO......Kuna shule nyingi sasa walimu wanakaa kwenye ofisi rasmi sio darasa lililogezwa ofisi ...Asante Makonda..... PIA Polisi wanatembelea magari bora ....Again Asante MAKONDA kwa ukarabati...
 
Watashusha Kwa bei gani , ba.shite bhana

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ila hiyo I'd ni ya kihenga nikakumbuka ulishawahi niambia hahahahaha thread hapahapa habari na hoja mtu kaibiwa vifaa vya gari
Hahahaha yamkini ni mie . ngoja nikajiridhishe. Kuna beer zile unazozipendaga zimenizunguka huku zinakusubiri
 
Wanywaji tujitahidi tukashangilie maana skuhiyo tukishinda kvant kubwa itakua buku 3 tu ili tusheherekee vizuri na bia ndogo (kirikuu)itauzwa 500 (joke)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom